Magoli ya kutosha??.. assist ngapi??
Cr7 hana hali mbaya,jalibu kufuatiliaWalikuwa wanategemeana, Kwani Ronaldo ametupia mangapi mpaka sasa huko Juve!!? Hali mbaya kwa Madrid, Hali mbaya kwa Ronaldo
Unadhani ntawezaje kujibu kama sifuatilii??Kwa mgeni wa ligi na misuko suko anayoipata hayo magoli aliyonayo mbona mengi na bado ligi inaendelea,kuhusu assist Fatilia utajua.
Unadhani ntawezaje kujibu kama sifuatilii??
Mpaka sasa bado mgeni wa ligi tuu?..
tutakutana uefa tuu..
Hayo yote ni mahaba tuu.. boli linachezwa uwanjani..All the best mkuuView attachment 889021
Hayo yote ni mahaba tuu.. boli linachezwa uwanjani..
Ligi yenyewe msimu wa saba ni wao tuu.. sasa kuna ligi hapo?? uefa itaongea.. maana huko mnakulaga vipigo daily...Na ndilo wanalocheza juve ndo maana wana wafungaji wengi kila mechi na sio CR7 pekee
Ronaldo ana average ya 2.1 key passes per game so far in serie a..a figure he achieved only once in 2010-2011 LA liga season.Bilashaka hufatilii ligi ya Italy wala humfatilii Cr7. Kwa taarifa yako Ronaldo ana struggle mno na mpaka sasa ana magoli na assist chache sana.
Bilashaka hufatilii ligi ya Italy wala humfatilii Cr7. Kwa taarifa yako Ronaldo ana struggle mno na mpaka sasa ana magoli na assist chache sana.
Ligi yenyewe msimu wa saba ni wao tuu.. sasa kuna ligi hapo?? uefa itaongea.. maana huko mnakulaga vipigo daily...
wachezaji wengi juve wanajua kushambulia ila mnajisahau kidogo tuu apo katikati.. kuja kushtuka. mshagongwa..
Kila siku nawaza kwanini PSG walilipa pesa yote ile kwaajili ya neymar? nakosa jibuKwa ufupi kiwango cha soka duniani kimeshuka mno na hii inatokana na kuwekeza fedha kwa mabishoo badala ya wenye talanta.
Serie A japo juve wapo vizuri ila kila mechi unakutana na upinzani wa beki si mchezo.siyo ajabu ukaja kusikia kila mechi beki zinamkamia CR7.usipokuwa makini utavunjwa miguu.Madrid nao japo baadhi ya wachezaji walisema tu pengo la Ronaldo halipo ukweli lipo ila itataka muda kidogo,kwanza wao wanatakiwa wauzoee mfumo wa kocha mpya.Kwa mgeni wa ligi na misuko suko anayoipata hayo magoli aliyonayo mbona mengi na bado ligi inaendelea,kuhusu assist Fatilia utajua.
King mbakaji...CR7 IS THE KING WENGINE WATASUBIRI
Za kutosha...MmhJuve ana magoli na assist za kutosha. Kwa sasa madrid inahitaji usajili wa maana baada ya hapo timu itakaa poa sana.
Ameshafunga goli 4 na ametoa assist goli 4...amekua na trend nzuri ya assist kuliko misimu yote aliyocheza madrid mpk kufikia mechi 8 za mwanzo wa ligiBilashaka hufatilii ligi ya Italy wala humfatilii Cr7. Kwa taarifa yako Ronaldo ana struggle mno na mpaka sasa ana magoli na assist chache sana.
Kocha wa Juve alinukuliwa akimsifia ronaldo kuwa "amekua mchezaji mwenye furaha na uhuru uwanjani" na hii ni kutokan na uchezaj wake ulioongezeka umakini katika kusaidia wenzake wafunge na kuanzisha mashambuliziRonaldo ana average ya 2.1 key passes per game so far in serie a..a figure he achieved only once in 2010-2011 LA liga season.
Kwenye mechi saba za mwanzo serie a,ana average ya 37.3 passes per game figure hii hajawahi kuifikia hata 30 LA liga misimu mitatu iliyopita.
Average pass completion ya 88% hajawahi kuifikia akiwa Madrid.
Hii inatueleza kuna Ronaldo mpya Juve,mwenye umuhimu wa aina yake kulingana na style ya uchezaji ya Juve.Purukushani za Ronaldo ziko pale pale zenye kuichangamsha foward line ya Juve na kuwaletea madhara wapinzani