Eti walikuwa wanazibiwa na Ronaldo?

Ligi yenyewe msimu wa saba ni wao tuu.. sasa kuna ligi hapo?? uefa itaongea.. maana huko mnakulaga vipigo daily...
wachezaji wengi juve wanajua kushambulia ila mnajisahau kidogo tuu apo katikati.. kuja kushtuka. mshagongwa..
Wewe hata Uefa nina wasiwasi hufuatilii Juve hajawahi kuwa na kiwango cha mashaka Uefa takribani misimu mitano sasa
 
Mkuu mie ni shabiki wa CR7 na sio juve. Nimeanza fatilia serie A sababu ya CR7 tu.Timu nnazozipenda ni R. Madrid na man u.

UEFA napo wanaweza toboa maana msimu huu wapo juu kiu ya ushindi
Juve Uefa inawahusu msimu huu wanaobisha tutakutana hapa
 
Wewe hata Uefa nina wasiwasi hufuatilii Juve hajawahi kuwa na kiwango cha mashaka Uefa takribani misimu mitano sasa
msenge kweli wewe kila ndani ya hiyo misimu mitano uefa kachukua?? kapoteza final mbili.. ni sawa chizi kwenda umbali mrefu halafu anarudi na makopo...
Usipende kushadadia bila fact..
 
Mkuu mie ni shabiki wa CR7 na sio juve. Nimeanza fatilia serie A sababu ya CR7 tu.Timu nnazozipenda ni R. Madrid na man u.

UEFA napo wanaweza toboa maana msimu huu wapo juu kiu ya ushindi
time will tell
 
Walikuwa wanategemeana, Kwani Ronaldo ametupia mangapi mpaka sasa huko Juve!!? Hali mbaya kwa Madrid, Hali mbaya kwa Ronaldo

Nakupa 5 mkuu. Mijitu mengine ni kiza kweli wanakaa wanasema ovyo utafikiri uko alipo Ronaldo anapiga mabao yeye mwenyewe kaingia choo cha kike. Natoa gerentee hawezi fika goli 35 kabisa licha ya 40.
 
Juve ana magoli na assist za kutosha. Kwa sasa madrid inahitaji usajili wa maana baada ya hapo timu itakaa poa sana.

Hayo magoli ma4 ndio yanatosha? kwani Benzema na Bale wana mangapi wao
 
Ameshafunga goli 4 na ametoa assist goli 4...amekua na trend nzuri ya assist kuliko misimu yote aliyocheza madrid mpk kufikia mechi 8 za mwanzo wa ligi

Hivi kuwa na goli 4 baada ya mechi nane ni jambo la kusifiwa? hao mnaowaponda Benzema na Bale wote pia wa magoli manne manne kila mmoja.

Leo Messi tayari ana 10
 
Juve ana magoli na assist za kutosha. Kwa sasa madrid inahitaji usajili wa maana baada ya hapo timu itakaa poa sana.
wanahitaji kocha na Perez atimuliwe pia. Zidane amecheza bila Ronaldo na ameshinda mechi vizuri tu. Lile zee muda wake umepita.
 
wanahitaji kocha na Perez atimuliwe pia. Zidane amecheza bila Ronaldo na ameshinda mechi vizuri tu. Lile zee muda wake umepita.
Perez ameota mapembe sana kwa uwezo mzuri wa mawasiliano baina ya wachezaji na zidane
 
Hivi kuwa na goli 4 baada ya mechi nane ni jambo la kusifiwa? hao mnaowaponda Benzema na Bale wote pia wa magoli manne manne kila mmoja.

Leo Messi tayari ana 10
Unapobadili mazingira ya uchezaji inaweza kukufany ufanye vzr au vibaya na hii sasa ndo inatokea kwa ronaldo,ko inamfanya ajaribu kutafuta namna ya kuzoea na kufanya vizuri zaid.
Na pia uzingatie wachezaj waliokua wakimzunguka Madrid ni tofaut kbs na waliopo juve.
Swala la messi kuwa na goli 10 nadhan halina tija yoyote hapa maan hakuna alieizungumzia barca
 
ninachpinga mimi huwezi kuwa na goli 4 kwenye mechi 8halafu akaita ni mafanaikio nahasa kwa wachezeji wanaitwa wakiwango cha juu.

Kuna dogo tayari ana goli 9 ndani ya seria A, na anachezea timu kibonde tu.
 
Benzema na bale msimu huu wapo ligi ngeni na ile ya msimu uliopita?na je timu yao ina ushindi mfululizo kama ronaldo? Na kwann unawashindanisha watu wawili kwa mmoja?
Hayo magoli ma4 ndio yanatosha? kwani Benzema na Bale wana mangapi wao
Swali hapa Messi yupo ligi ngeni na la liga msimu huu?

Daah yaani umempambanisha ronaldo na watu watatu kweli CR7 ni jeshi la mtu mmoja
Hivi kuwa na goli 4 baada ya mechi nane ni jambo la kusifiwa? hao mnaowaponda Benzema na Bale wote pia wa magoli manne manne kila mmoja.

Leo Messi tayari ana 10
 
Kuna dogo ndani ya seria A tayari ana zaidi ya goli 10.
Messi tayari ana goli 10

Ronaldo ana vigoli vi4 halafu munatusifia anafanya vizuri.
 
Huyo dogo hana jina? Na je UEFA kabeba makombe mangapi? Na kabla ya kuchezea serie A huyo dogo kabeba kombe gani la ligi ya ndani?EPL,La liga,etc? Nae ana miaka 33?

Messi msimu huu kahamia ligi gani ngeni?Messi huyu huyu kakiri la liga bila ronaldo hainogi.
Kuna dogo ndani ya seria A tayari ana zaidi ya goli 10.
Messi tayari ana goli 10

Ronaldo ana vigoli vi4 halafu munatusifia anafanya vizuri.
 
Hufahamu kama Ulaya watu wanaishi kidiplomatic??? ulitaka asema ronaldo hana mpango aandmwe na vyombo vya habari aambiwe anamchukia?

Na Hapa hakna maswali kashinda mataji mangapi, Ishu ni Current season. hebu tizama matokea tayari dogo kashpiga bao jengine uko Genoa.
 
CR7 anakipaji cha kufunga magoli, anajua ni wakati gani na sehemu ipi aji-position kabla mpira/pasi haijamfikia tayari kwa kufunga/kumalizia. Yawezekana ni kweli kuwa walikuwa wanampa assist na kufunga kwa kuwa anakipaji hicho.

Benzema na Bale kipaji walichonacho cha kufunga mabao ni kidogo sana. Hivyo, hakuna namna wanaweza kumfunika CR7 hata kama wangepewa nafasi ya kucheza game zote wakati hajaondoka.

Namalizia kwa kusema CR7 atabaki kuwa CR7 tu na Bale/Benzema watabaki kuwa kama wao na si kuwa kama CR7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…