Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
- Thread starter
- #41
Wewe hata Uefa nina wasiwasi hufuatilii Juve hajawahi kuwa na kiwango cha mashaka Uefa takribani misimu mitano sasaLigi yenyewe msimu wa saba ni wao tuu.. sasa kuna ligi hapo?? uefa itaongea.. maana huko mnakulaga vipigo daily...
wachezaji wengi juve wanajua kushambulia ila mnajisahau kidogo tuu apo katikati.. kuja kushtuka. mshagongwa..