Halafu unajua we mzee unazeeka vibaya sanaKwa ufupi kiwango cha soka duniani kimeshuka mno na hii inatokana na kuwekeza fedha kwa mabishoo badala ya wenye talanta.
Walikuwako zaidi ya Neymar mara 50 lakini uwekazaji wao haukufikia hvyo.. Leo mtoto mdgo anateleza.. Naona pesa zinataka kuufanya mpira upendwe pia uchukuliwe poa tu!Mtu kama Neymar Jr ni uwekezaji mbaya kuwahi tokea tangu kuumbwa kwa misingi ya soka duniani.
unaanza kujiuma mwenyewe... wewe mwenyewe ndo umetaja misimu mitano... ouk.. 2012...chelsea alichukua..Sasa kwa miaka mitano ukizungumzia kuchukua uefa basi timu ingekuwa madrid tu nyingne sio timu, kutobeba uefa haimaanishi Juve alikuwa na msimu mbaya ila inawezekana alizidiwa viwango na baadhi ya timu zilizobeba mbele yake mfano ni Madrid bora kabisa yenye Ronaldo
Nafikiri hujaelewa mada au bandiko langu. Samahani kwa hilo mkuuWalikuwako zaidi ya Neymar mara 50 lakini uwekazaji wao haukufikia hvyo.. Leo mtoto mdgo anateleza.. Naona pesa zinataka kuufanya mpira upendwe pia uchukuliwe poa tu!
Nimekuelewa sana nini umemaanisha mkuu ila wewe haujanielewa ila nadhani tupo upande mmoja.Nafikiri hujaelewa mada au bandiko langu. Samahani kwa hilo mkuu
Mimi naona mnashindwa kuelewa wakati hela za usajili zinapanda kila mwaka kumbuka hata ho uliowataja baadhi wamewahi kuvunja rekodi za usajili kwa wakati waoNimekuelewa sana nini umemaanisha mkuu ila wewe haujanielewa ila nadhani tupo upande mmoja.
Ni hvi.. Ni kweli uwekezaji wa neymar jq ni mbaya sana kulinganisha na uchezaji wake, nimesema pia walikuwako wachezaji wazuri zaidi ya neymar kipindi cha nyuma kwa kumzidi uwezo hata mara 50 lakini hawakupata uwekezaji wao kama huu ambao neymar kaupata wakati kiwango chake ni kidogo sana, ukimlinganisha na Beckham, Figo, De lima, zidane nk, hawa hawakupata huo uwekezaji wa kupata pesa hzo. Kwahyo mpira wa sasa pesa ndyo zinaufanya upendwe na uchukuliwe poa kulingana na kipindi cha nyuma.
Mkuu si uangalie rating zao hapo
Uzuri Ronaldo timu yake haijapoteza mchezo wowote ule katika ligi hata suluhu hajapata Juve
Ligi ina mechi 38 Ronaldo ndio kwanza anaizoea ligi ya Italia nakuhakikishia katika michuano yote msimu huu goli 40+ ni kama kawaida na assist kibao
Hujaelewa point hazard alivyorudi chelsea alikutana na wachezaji wapya timu nzima?
Na huyo piatek amepitwa rating na Ronaldo.
Kama kuna mchezaji serie A ambaye amefanya vizuri zaidi ya Ronaldo toka msimu uanze unakaribishwa kumtaja na kuleta ratings zake.
Real inahitaji usajili kama watu watatu au wanne wa nguvu.. Timu imechoka sababu ina watu walewale.. Mfano modric,kroos,benzema,marcelo, ramos.. ni watu ambao wanapaswa kupumzika wametumika sana na umri umeenda kama modric, ramos na marcelo..
Kwa ujumla pengo la cr7 linaonekana timu inapata ushindi kwa shida na magoli machache mno.
Kuna haja ya kumleta Kane au Mauro Icardi pale mbele, Mbappe au Hazard pembeni, Eriksen na Kante pale kati, na nyuma walete beki.
Kwani miaka yote ronaldo anayochukua uchezaji bora wa dunia mfungaji bora anakuwa yeye? Magoli ni point muhimu lakini magoli tupu hayatoshi.Kwaiyo saivi ushindani umekua wa rating na sio magoli tena?
Sijawah kumbuka washabiki wa ronaldo kuleta rating.tumewabumia safari hii baada ya ukame wa magoli kumkuta.
Piatek amefunga magoli mechi zaote 8 alizocheza msimu huu, Amefunga mechi 7 mfululizo ndani ya SeriaAtayari ameifikia record ya Batistuta ya kufunga mfululizo na kubwa zaidi timu anyocheza mbovu kabisa. Bado hamuoni jamani duh !!!!!!!!!!!!
Kwani miaka yote ronaldo anayochukua uchezaji bora wa dunia mfungaji bora anakuwa yeye? Magoli ni point muhimu lakini magoli tupu hayatoshi.
Harry kane mwaka jana alifikisha magoli 50 (calender year) alimzidi ronaldo, je aliingia hata tatu bora ya uchezaji bora duniani? Mwaka juzi ibrahimovic pia alifikisha goli 50 naye alikuwepo hata tatu bora?
Hoja zenu huwa magoli na makombe. (utafikiri alicheza pekeake uwanjani)
Christiano pia ndio anaongoza kwa assist Uefa toka mashindano yaanzishwe mambo hayo anafanya toka hajaenda juve.
Na makombe pia yeye ni chachu, jamaa ni winner, akicheza vibaya inamuuma, timu ikifungwa inamuuma anataka muda wote ashinde ndio maana kila anapokwenda na vikombe vinamfuata.
Man U alipochukua Uefa na makombe ya ligi mfulululizo mchango mkubwa alitoa yeye,
Same madrid mara zote wanachukua Uefa mchango mkubwa ni kwake.
Na ameenda juve sasa hivi kila mtu anamuangalie yeye atafanya nini Uefa.
Portugal wanachukua kombe la ulaya Ronaldo alifunga goli 3 tu, ila aliongoza kwa assist na overall gameplay yake ilikuwa nzuri, aliwafanya average players waonekane wazuri.
Kama kijiweni kwenu mnabishana kwamba ronaldo ni magoli tu, humu tunajua ni zaidi ya hayo jamaa ana vitu vingi vya ziada.
Unataka kusema ushindi inaopata real kwa sasa ni zaid ya ronaldo pindi yupo au?... Sina maana eti real bila cr7 haishind no.. Ila kama nilivyosema wanahitaji usajil, wachezaji wao wamecheza game nyingi bila kupumzika.Kwani mwaka jana wakati yupo Ronaldo timu ilikua inapata ushindi mkubwa?
ISco, Marcello, CArvajal wote ni injuries na wote ni wachezaji muhimu sana kwenye timu, ukosekananji wao unaiathiri sana timu na timu imeanza kupoteza michezo baada wao kuwa hawapo.
Real madrid wana kikosi kizuri, Panahitajika ni uvumilivu mdogo tu wa wachezaji kuzoea mfumo mpya ulioletwa na kocha.
Kiusajili REal wanahitaji beki ya kushoto to wa kumleave marcello , mana tayari mzee umri umeshakwenda na bado hawahana hata sub nzuri yake.
Unataka kusema ushindi inaopata real kwa sasa ni zaid ya ronaldo pindi yupo au?... Sina maana eti real bila cr7 haishind no.. Ila kama nilivyosema wanahitaji usajil, wachezaji wao wamecheza game nyingi bila kupumzika.
Hata uefa dhidi ya liverpool walibeba sawa lkn LA LIGA hawakuwa vzr sana.. awemo isco, marcelo lkn wanahitaji kubust kikosi.. Casemiro sio yule wa mwaka juz amekata upepo.. Labda ubishe tu kwa kuwa unaweza kubisha.
Ndugu watakuchosha mashabiki wa messi ambae hajaipa chochote argentina... wanakataa ronaldo hakutoa mchango wowote portgal kubeba euro,Christiano pia ndio anaongoza kwa assist Uefa toka mashindano yaanzishwe mambo hayo anafanya toka hajaenda juve.
Na makombe pia yeye ni chachu, jamaa ni winner, akicheza vibaya inamuuma, timu ikifungwa inamuuma anataka muda wote ashinde ndio maana kila anapokwenda na vikombe vinamfuata.
Man U alipochukua Uefa na makombe ya ligi mfulululizo mchango mkubwa alitoa yeye,
Same madrid mara zote wanachukua Uefa mchango mkubwa ni kwake.
Na ameenda juve sasa hivi kila mtu anamuangalie yeye atafanya nini Uefa.
Portugal wanachukua kombe la ulaya Ronaldo alifunga goli 3 tu, ila aliongoza kwa assist na overall gameplay yake ilikuwa nzuri, aliwafanya average players waonekane wazuri.
Kama kijiweni kwenu mnabishana kwamba ronaldo ni magoli tu, humu tunajua ni zaidi ya hayo jamaa ana vitu vingi vya ziada.
Hapana wewe ndie uvute vizuri kumbukumbu mchezaji bora wa michuano alikuwa Antoine griezman, pepe alikuwa beki bora wa michuano tu.Acha kuropokwa, usichekeshe kwa kutwambia Ronaldo ndie alie inspire Portugal kuwa bingwa. Pepe ndie aliekua mchezaji bora wa mashindano vuta kumbukumbu.
Van der Sir, Rooney, Tevez, Vidic, Evra, Park, Schools, Rio hawa wote walikua washindikizaji sio?