Eti walikuwa wanazibiwa na Ronaldo?

Hicho kikosi bora si kipo pamoja sasa hivi? Mbona mechi 4 hawajafunga goli hata moja?
 
Piatek wa GENOA... Sasa kufunga goli 8 ndio atamaliza juu ya ronaldo?... Ronaldo ana 33 age yake lkn huwezi kumlenk na hao watoto, moto wake ni hatari.
Timu messi mnapata taabu sana kumponda LEGEND... toa heshima EPL amekiwasha, LA LIGA amekiwasha ndiko amebeba d'or 4 akiwa huko, ITALY anakiwasha na ndoo atabeba... ni history anaweka km akina Zlatan.
 
Huyo jamaa anachonishinda eti anakataa ronaldo hakuwa mchango wowote utd na portga, sjui bangi. utd haijagusa hata nusu uefa toka jamaa asepe, vp huko real
 

Man utd walicheza 2011 champion league final kama huna kumbukumbu, tatizo la Man utd wamepoteza ubora baada ya kuondoka kwa Ferguson.
Mkuu internet ipo , timzama tena vizuri nani alkua mchzeaji bora wa Euro 2016, Graizman alikua ni mfungaji bora tu nasi mchezaji bora.
 
Sikatai real kuwa na kikosi bora toka msimu jana kurudi nyuma... ila kwa sasa wamechoka!." mbona huelewi? Mtu kama modric ni 30+, ramos 30+, marcelo 30+, benzema 30+ na simaanishi umri tu hata perfomance yao imeshuka.
Kroos, casemiro pia wanahitaji watu wa kuwasaidia jamaa wametumika sana ukiongeza na kocha mpya bila usajil ndio basi tena.
Hao jamaa wana uefa 3 mfululizo unafikir watabaki kwenye ubora ule ule?
Kuhusu timu imara kwa sasa ni Juve.. hata bila ronaldo Juve ni moto kaka.
 
Kuna timu gani duniani iliokua haijawah poteza mechi? hata hiyo barca ya Pep pia ilikua inafungwa.
Hajasema kufungwa kauliza mbona mechi nne mpaka sasa hawana goli hata moja?
 
Sio kucheza fainal ni hivi walichukua Uefa tena? Fainali hata liver juzi tu kacheza
 

Ronaldo nae ni 30+ timu imenza kusafisha mnapiga kelele.
 
Sio kucheza fainal ni hivi walichukua Uefa tena? Fainali hata liver juzi tu kacheza

Kwani lini Man utd wamekua na kikosi kizuri cha ushindani toka walipobeba taji? tumtoe huo Ronaldo tumueke pembeni wameahkuwa na kikosi tena kama kile? kutoka vidic na rio nasivi kuna Smailling, kutoka Rooney na tevez saivi kuna Lukaku na Rashford utegemee taji la ulaya tena hapo?
 

Unaonekanwa hukioni wanachokifanya Real mkuu. Isco na Ceballos wameandaliwa na wanachukua nafasi pale kwa Modric na bale, Assensio amechukua nafasi ya Ronaldo. Revolution gani unayotaka tena? au mlitaka Ronaldo acheze mpaka mpira umshinde pale aanze kufungisha timu tena kama anavofanya ribery buyern? Varane alikuja kwa Pepe. club inayo program zake kabisa sijui nyinyi tatizo lenu ni nini. pana madogo wawili wapya Diaz na mwengine kinda wa kibrazil vinisius tayari wametua na talent zao wapo kwenye kuboreshwa. kuna beki wakulia na wakushoto wapya pia wamesajiliwa au wote hujawaona hao?
Tataizo lenu nyinyi mnataka musikie timu imesajali mchezaji milion 200 ndio mtahisi timu ndio inajengwa. PSG wametumia 400 kwa Mbape na Neymar bado mpaka saivi hakuna matunda. BArca ya pep hakukuwa na big transfers za ovyo kama mnavota waliandaa vijana kitaratibu tu na wamefanikiwa. Pedro, Bisquit, Xavi,Iniesta, Messi, Pique, Valdes wote hawakuwa wa hata 50 milion transfers. walitafuta talent wakizidivelop na wakafanikiwa.
 
Bilashaka hufatilii ligi ya Italy wala humfatilii Cr7. Kwa taarifa yako Ronaldo ana struggle mno na mpaka sasa ana magoli na assist chache sana.
Goli 4 assist 7 michezo 7 ni chache mkuu. Kuwa seriuos aise..
 
Sababu zinajulikana.

Sote tunajua kwa moto wa Ronaldo sio mchezaji wa kuwa na magoli manne mpaka sahizi!!

Sote tunajua Real madrid wamebadili kocha aliyekuja na mifumo na itikadi nyingine ila pamoja na hayo Benzema ana goli 4 mpaka sahizi la liga sawa na Ronaldo tuu huko juve kwahiyo sioni hoja yenu ikiwa na mashiko
 
Na hapo mwanzo walipokua wanafunga matatu matatu mulikua wapi?
Madrid kufunga hayo matatu matatu ni kawaida yao hadi kumi huwa wanafunga ila hili la kutofunga hata goli moja katika mechi nne hatujawahi kuliona kwa miongo miwili sasa
 
Tofauti ni kwamba Benzema ana magoli manne lakini timu yake haiongozi ligi na ina matokeo mabovu ligi na uefa
 
Hakuna timu ambayo haina hao makinda... Unatuaminisha kuwa na makinda basi usisajili?...
 
Hao barca bado wanafanya hivyo?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…