Hapana wewe ndie uvute vizuri kumbukumbu mchezaji bora wa michuano alikuwa Antoine griezman, pepe alikuwa beki bora wa michuano tu.
Ronaldo alishinda silver boot nyuma ya Griezman na akamzawadia hicho kiatu louis Nani.
Pia Ronaldo kati ya mechi 6 walizocheza amekuwa man of the match mechi 2,compare na moja ya pepe.
Kuanzia mechi ya mwisho ya makundi mpaka nusu fainali magoli karibia yote ya portugal yalitokana na ronaldo, ukitaka na ushahidi wa video nitakuekea.
Baada ya Ronaldo kuondoka walishinda Uefa ngapi hao wachezaji? Katika kiwango chake ronaldo anaanza kujulikana amecheza Uefa 3 na aliofanya vibaya sana ni nusu fainali aliishia vc Ac milan bora ya kina kaka,
Iliobakia akaingia fainali mbili mfululizo.
Baada ya hapo 2008, man u haikuchukua Tena Uefa hadi leo, na ukitoa fainali moja ya 2011 mara nyengine man u iliishia tu makundi ama hatua za mwanzo za mtoano hao uliowataja ukitoa tevez wakiwemo.