Tofauti ni kwamba Benzema ana magoli manne lakini timu yake haiongozi ligi na ina matokeo mabovu ligi na uefa
Kwani ni ligi hata Uefa R.Madrid ipo ovyo unaambiwa madrid haijawahi pata matokeo mabovu kama hayo miaka takribani miaka 30 nyuma wewe unasema hata mwaka jana..Hayo matokeo mabovu hayajaanza leo. Kwani mwaka jana kipindi kama hichi Real ikiwa na Ronaldo ndani yake ilikuwa ipo kwenye mazingira gani labada ungelitwambia.
Hakuna timu ambayo haina hao makinda... Unatuaminisha kuwa na makinda basi usisajili?...
Kwani ni ligi hata Uefa R.Madrid ipo ovyo unaambiwa madrid haijawahi pata matokeo mabovu kama hayo miaka takribani miaka 30 nyuma wewe unasema hata mwaka jana..
Hao barca bado wanafanya hivyo?..
Sasa tunaangalia utofauti na Barca au perfomance yao binafsi kama wao kwahyo hata Barca akifungwa mechi zote na Madrid akifungwa hapo hamna tatzo kisa kalingana na Barcakumbukumbu zako ni ndogo mkuu, Mwaka jana Real alimalza wapili kwenye kundi champion league. Mpaka round ya kwanza inakaribia kwisha La liga real alikua nafasi ya sita na kuachwa na Barca karibu point 20. hivi sasa tafauti na barca ni point 1 tu.
Sasa tunaangalia utofauti na Barca au perfomance yao binafsi kama wao kwahyo hata Barca akifungwa mechi zote na Madrid akifungwa hapo hamna tatzo kisa kalingana na Barca
Dogo mim nilidhani wewe ni mtu wa kuworkout tu kubeba chuma kumbe mpira unafuatiliaga?Unamjua Bebe? Alinunuliwa na Ferguson Man u, je Pogba?
Goli 4Ana goli 3 tu na assist zisizozidi 4
Kila siku nawaza kwanini PSG walilipa pesa yote ile kwaajili ya neymar? nakosa jibu
Kwanini man u walilipa ile pesa kwaajili ya pogba ? Nakosa jibu naishia kusema mpira sasa unachezwa na watu walaini sana kama wanaume wa dar
Mkuu upo? Nakusalimia tu, toka ulipompa promo jamaa yako naona hajafunga tena hadi leoHufahamu kama Ulaya watu wanaishi kidiplomatic??? ulitaka asema ronaldo hana mpango aandmwe na vyombo vya habari aambiwe anamchukia?
Na Hapa hakna maswali kashinda mataji mangapi, Ishu ni Current season. hebu tizama matokea tayari dogo kashpiga bao jengine uko Genoa.
Mkuu Dogo anacheza Genoa, Sijui timu ishatimua makocha wangapi toka ligi ianze. Timu yawezapita hata mechi 5 bila ya ushindi. Utegemee lipi jengine? Lakini yeye kama yeye anastahili sifa zakutosha tena.Mkuu upo? Nakusalimia tu, toka ulipompa promo jamaa yako naona hajafunga tena hadi leo
Mkuu Dogo anacheza Genoa, Sijui timu ishatimua makocha wangapi toka ligi ianze. Timu yawezapita hata mechi 5 bila ya ushindi. Utegemee lipi jengine? Lakini yeye kama yeye anastahili sifa zakutosha tena.
Yani mtu yupo sawa kwa magoli na mchezaji ambaye timu yake inapigiania kutoshuka daraja Unasherekea View attachment 945746