Eti walikuwa wanazibiwa na Ronaldo?

Eti walikuwa wanazibiwa na Ronaldo?

Tofauti ni kwamba Benzema ana magoli manne lakini timu yake haiongozi ligi na ina matokeo mabovu ligi na uefa

Hayo matokeo mabovu hayajaanza leo. Kwani mwaka jana kipindi kama hichi Real ikiwa na Ronaldo ndani yake ilikuwa ipo kwenye mazingira gani labada ungelitwambia.
 
Hayo matokeo mabovu hayajaanza leo. Kwani mwaka jana kipindi kama hichi Real ikiwa na Ronaldo ndani yake ilikuwa ipo kwenye mazingira gani labada ungelitwambia.
Kwani ni ligi hata Uefa R.Madrid ipo ovyo unaambiwa madrid haijawahi pata matokeo mabovu kama hayo miaka takribani miaka 30 nyuma wewe unasema hata mwaka jana..
 
Hakuna timu ambayo haina hao makinda... Unatuaminisha kuwa na makinda basi usisajili?...

kwani hao makinda hawajasajiliwa? vinicius amesajiliwa kwa euro 45, courtois 35, odriizola 30, diaz 22, ceballos 16, theo 24
 
Kwani ni ligi hata Uefa R.Madrid ipo ovyo unaambiwa madrid haijawahi pata matokeo mabovu kama hayo miaka takribani miaka 30 nyuma wewe unasema hata mwaka jana..

kumbukumbu zako ni ndogo mkuu, Mwaka jana Real alimalza wapili kwenye kundi champion league. Mpaka round ya kwanza inakaribia kwisha La liga real alikua nafasi ya sita na kuachwa na Barca karibu point 20. hivi sasa tafauti na barca ni point 1 tu.
 
Hao barca bado wanafanya hivyo?..

barca wamesaini kiungo dogo anaitwa arthu kwa 40m mwaka huu kama huna habari.beki anaitwa lenglet kwa 35m, na foward anaitwa malcom kwa 41m. fatilia vizuri mkuu.
 
kumbukumbu zako ni ndogo mkuu, Mwaka jana Real alimalza wapili kwenye kundi champion league. Mpaka round ya kwanza inakaribia kwisha La liga real alikua nafasi ya sita na kuachwa na Barca karibu point 20. hivi sasa tafauti na barca ni point 1 tu.
Sasa tunaangalia utofauti na Barca au perfomance yao binafsi kama wao kwahyo hata Barca akifungwa mechi zote na Madrid akifungwa hapo hamna tatzo kisa kalingana na Barca
 
Tangu mwaka 1985 Madrid haijawahi kucheza mechi nne bila kufunga bao lolote lakini mwaka 2018 imetokea mwengne anasema ni kawaida tu
 
Sasa tunaangalia utofauti na Barca au perfomance yao binafsi kama wao kwahyo hata Barca akifungwa mechi zote na Madrid akifungwa hapo hamna tatzo kisa kalingana na Barca

tunazungumza performance, mwaka jana real alikua na hali ngumu mno ukilinganisha na mwaka huu mpaka saivi, umesahau kama Zidane alikaribia kufukuzwa katikati ya msimu.
 
Wapigaji wapo kila kona.
Kila siku nawaza kwanini PSG walilipa pesa yote ile kwaajili ya neymar? nakosa jibu
Kwanini man u walilipa ile pesa kwaajili ya pogba ? Nakosa jibu naishia kusema mpira sasa unachezwa na watu walaini sana kama wanaume wa dar
 
Nahisii ww sio mpenzi wala shabiki wa ronaldo fatilia seria a utaona ana magoli mangapi na ameasist ngapi
 
Hufahamu kama Ulaya watu wanaishi kidiplomatic??? ulitaka asema ronaldo hana mpango aandmwe na vyombo vya habari aambiwe anamchukia?

Na Hapa hakna maswali kashinda mataji mangapi, Ishu ni Current season. hebu tizama matokea tayari dogo kashpiga bao jengine uko Genoa.
Mkuu upo? Nakusalimia tu, toka ulipompa promo jamaa yako naona hajafunga tena hadi leo
 
Mkuu upo? Nakusalimia tu, toka ulipompa promo jamaa yako naona hajafunga tena hadi leo
Mkuu Dogo anacheza Genoa, Sijui timu ishatimua makocha wangapi toka ligi ianze. Timu yawezapita hata mechi 5 bila ya ushindi. Utegemee lipi jengine? Lakini yeye kama yeye anastahili sifa zakutosha tena.
 
G.O.A.T
IMG_20181125_074422.jpg

Back
Top Bottom