#GGMU
#MUFC
Kwann ulikimbi mkali? 🤣Naongea Kama Shabiki Mstaafu wa Man yu.
Ole Gunnar Solskjær Anafaa! Atolewe pale kwao Norway timu ya taifa arudishwe Trafford ...
Tunaomjua Sosha enzi zake kwa babu fergie.......alikuwa na dakika 88 za kuusoma mchezo, na dakika 2 tu za kufanya na kumaliza show ya kibabe uwanjani!.
Mrudishe aliyekuwepo ucheze UEFA#GGMU
#MUFC