Eti wana Man Utd ni heri kubaki na Fletcher hadi mwisho wa msimu au kuletewa Ole Gunnar/Carrick?

Naongea Kama Shabiki Mstaafu wa Man yu.

Ole Gunnar Solskjær Anafaa! Atolewe pale kwao Norway timu ya taifa arudishwe Trafford ...

Tunaomjua Sosha enzi zake kwa babu fergie.......alikuwa na dakika 88 za kuusoma mchezo, na dakika 2 tu za kufanya na kumaliza show ya kibabe uwanjani!.
#GGMU
#MUFC
 
Kwann ulikimbi mkali? 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…