Ulamaa Hemed
Senior Member
- Sep 21, 2012
- 159
- 16
Mwanzo ilikuwa mtu akisap somo akijasapua hata akipata "A" anawekewa "C*" Ila akicarry akipata "A" anawekewa hiyo hiyo aliyopata,lkn nimesikia sasa mtu akikeri hata akipata "A" anawekewa "C*". Je kauli hii/mfumo huu ni sahii. From UDOM