Eti wanachuo jambo hili ni kweli?

Eti wanachuo jambo hili ni kweli?

Ulamaa Hemed

Senior Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
159
Reaction score
16
Mwanzo ilikuwa mtu akisap somo akijasapua hata akipata "A" anawekewa "C*" Ila akicarry akipata "A" anawekewa hiyo hiyo aliyopata,lkn nimesikia sasa mtu akikeri hata akipata "A" anawekewa "C*". Je kauli hii/mfumo huu ni sahii. From UDOM
 
Kama ndivi tayari kuna kirusi ameshaingia tena Elimu ya juu.
 
Sasa hzo c ni sheria za udom mkuu,au hujui kua kila chuo kina sheria zake?
 
Back
Top Bottom