Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Litakusaidia kufanyaje?kuwepo kwa ndevu au kusiwepo hakuwezi kukabadilisha maamuzi yangu. Ila nataka kujua hili jambo litanisaidia sana.....!
mie nilisikia waume zao hufa haraka.
Ndo ivo!!
atakuwa hajausikia ule wimbo wa kupata ni majaliwa, ng'ombe amenyimwa ndevu lakini mbuzi kapewa.
BT, umeacha kumkimbiza mwizi kimya kimya?
Staili yako ya uchaingiaji ilikuwa inanifurahisha, kimya kimya bila makelele
Si ndo hapo sasa!!! Mtu badala amfahamu vizuri mhusika mwenyewe jinsi alivyo....anakimbilia kwenye vigezo vya bahati nasibu!!
Basi sofia simba lazima awe ginias
kufa haraka si matokeo ya kumchukiza Mungu bali ni matokeo ya kupendwa zaidi na Mungu. @ mtoa mada kama hiyo maneno ni kweli, basi wanawake wa mbeya watakuwa na soko sana!hufa haraka kwa matendo yao ya kumchukiza Mungu na si ndevu za wake zao!
mie nilisikia waume zao hufa haraka.
Ndo ivo!!
Nimesikia hizi habari siku moja kwamba ukipata bahati ya kuoa mwanamke mwenye ndevu za asili (sio wale wanaoota ndevu kwa sababu ya kuchubua na madawa mengine) huwa wanaakili sana za kimaisha na jinsi ya kuishi na wengine. Niataka kukubaliana nalo hili sababu nimekutananao ni wapole na wanyenyekevu mno.
Je, ni kweli?