Eti watoto wangu watakuwa wamefanya makosa?

Eti watoto wangu watakuwa wamefanya makosa?

Ndugu zangu za usiku huu nimekosa usingizi,kisa watoto wangu na dada wakazi wamekula kichani cha ndizi kilichodondoka juu ya bati letu.

Kisa kilianza hivi kuna mmama mmoja nilitoka kumwambia ndizi zake ache kulemezea kwangu akakataa, sasa kuna ndizi moja ililemea ukuta
Na wewe mteme biti kali, mwambie ole wako wanangu wapate tatizo lolote lile hata mafua tu.!
 
Huyu mama sio mtu mzuri tokea nihamie anavisa vingi .
1.tumehamia nyumba yetu

Wamepata ila sikukaa kimya
Unamnyamazisha tu kwa maneno ya kujishusha na wewe, sa kama sio mtu mzuri na apo kosa linaonekana ndizi yake imekatwa unataka ushindane naye? Ujirani hauko ivo kuna wengine wanapenda chokochoko ila ukishawajua na namna ya kwenda nao baadaye wanabadilika na wanakuwa na adabu Ila ukipenda ligi mbona utajitesa na mikesi ya kila siku ndugu
 
1. Wanao ni wezi
2. Huyo bibi sio mchawi ila ana njaa tu na wivu unamsumbua. Mchawi wa kweli huwa hasemi, ungeona tu vitumbo vya wanao vinavimba.
3. Kwa kuwa umemkosea omba msamaha, mpe hata msimbazi tu atakuwa mpole.
 
Wewe hujui huku eh ukimpa msimbazii ndio hamli tena nyama .
Huku wachawi, wezi nani na huku ndizi iliangukia kwetu ila waache wameshapewa kitu yao hawazuru ng'o sie tunajiamini.
Ila wezi 😂🤣🤣🤣🤣wizi ni kwa kila mtoto
 
Ndugu zangu za usiku huu nimekosa usingizi, kisa watoto wangu na dada wakazi wamekula kichani cha ndizi kilichodondoka juu ya bati letu.

Kisa kilianza hivi kuna mmama mmoja nilitoka kumwambia ndizi zake ache kulemezea kwangu akakataa, sasa kuna ndizi moja ililemea ukuta
Haya mambo ya waarusha haya.
Hongera siku hizi unaandika vizuri sana
 
Hapana huyu mama anavisaa ukimwomba atakupanda kichwani tena na mpangoo wakumpelekea moto hadi basi nitawapa mrejesho.
Au sio dawa ya moto ni moto. Mtishie mwambie kwenu umeaga mtoto asipopata choo utahakisha yeye hapati choo kidogo.

Ila katoto kazuri watoto wako na dada wa kazi wanakula kichane cha ndizi? Hukuwa umewapikia chakula?
 
Wale huwaezi hata uwape nini lazima wakipewa mahali kitu wanakula hawakosi kitu ningeshamsema baba yao humu .
Nimewakanya nimewaangalia nimewapa kila neno naishilia kulia mwenyewe.
Ila ni watoto waache walogwe wakikosa choo itakuwa fundisho kidogo
 
Hapana huyu mama anavisaa ukimwomba atakupanda kichwani tena na mpangoo wakumpelekea moto hadi basi nitawapa mrejesho.
Duniani hatuishi hivyo, kuna leo na kesho; tumia busara nyingi kumaliza migogoro....lasivyo mkiwekeana chuki,hata kutembea usiku peke yako utaogopa
 
Duniani hatuishi hivyo, kuna leo na kesho; tumia busara nyingi kumaliza migogoro....lasivyo mkiwekeana chuki,hata kutembea usiku peke yako utaogopa
Ndioo humjui kaanzia wapi tumehamia tu akaanza kukata ndizi nazinadondokea kwenye paa la nyumba yetu yaani unamkuta mtu hana haya anaamka saa moja watu wamelala anakata ndizi inadondokea kwenye paa tunaamka tunakuta ndizi imepasua sahani na vikombe huko nyuma imedondoka pah baada ya kuamsha watu.

Sio hiyo tu anaweza kutupa mawe juu ya bati tena makubwa kama gharika au anaacha majani ya migomba kwenye ukuta wetu hivi huyu mtu anataka nihame kwangu?

Ni kwangu aache maneno anaweza kukata bomba anasema ni mimi eti nilipe anataka maji aunanasingizia niwatoto wangu namuda huo wapo shule.

Huyu bibi anasifa sana sijui shida nini?
Hana hata shida basi tu .
Nimenyamaza sasa ngoja nikamwonyeshe .
 
Back
Top Bottom