Eti Waziri Nape! Watanzania hawana shughuli za kufanya mpaka mnawarudishia Bunge 'Live'

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Mwaka 2016 wakati Waziri wa Habari na Utamaduni wa wakati huo, Nape Nnauye akitoa sababu za kusitisha matangazo ya Bunge live, pamoja na gharama alisema watanzania wengi mchana wako maofisini na wengine wanajenga taifa hivyo wakaamua kutengeneza kupindi maalum usiku kuonesha 'Edited clips' za Bunge ili wapate fursa ya kuona.

Leo Bunge 'LIVE' limerejeshwa na kamati ya Bunge huku Waziri akiwa yuleyule na hoja za kusitishwa zikiwa bado hazijayeyuka. Tofauti sasa, mamlaka ya kulirudisha inatoka mhimili tofauti. Katiba yetu bhana.

JIONEE

 
Kisingizio ni marehemu
 
Rais ashasema kipindi kile kulikuwa na nidham ya woga sababu ya SIMBA WA YUDA, sasa uzuri siku hizi mawaziri hawafanyi mambo kwa kumuogopa Rais ila wanatumia common sense.

Mbona alikuwa na free mind suala la Makonda na Clouds mpaka akakubali matokeo ya kuachia uwaziri.
 
Rais ashasema kipindi kile kulikuwa na nidham ya woga sababu ya SIMBA WA YUDA, sasa uzuri siku hizi mawaziri hawafanyi mambo kwa kumuogopa Rais ila wanatumia common sense.
Hao mawaziri wa kufanya mambo kwa common sense bila kumhofia Rais bado hawajazaliwa.
Juzi tu mkwe wake Mchengerwa kwenye tuzo ilikuwa aibu
 
Bunge lenyewe la ccm tupu sidhani kama lina mvuto tena kama ulivyokuwa huko nyuma kabla ya yule Ibilisi kuja kuteuwa bunge analolitaka yeye.
 
Tuseme wazi tu, Magufuli hakutaka kabisa watanzania wajue ushenzi alioufanya despite ya fact that bunge alilizima kabisa.
 

Uchawa ni profession kamili.
 
Bunge la kijani na Nape akiwa kijani halinogi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…