Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka 2016 wakati Waziri wa Habari na Utamaduni wa wakati huo, Nape Nnauye akitoa sababu za kusitisha matangazo ya Bunge live, pamoja na gharama alisema watanzania wengi mchana wako maofisini na wengine wanajenga taifa hivyo wakaamua kutengeneza kupindi maalum usiku kuonesha 'Edited clips' za Bunge ili wapate fursa ya kuona.
Leo Bunge 'LIVE' limerejeshwa na kamati ya Bunge huku Waziri akiwa yuleyule na hoja za kusitishwa zikiwa bado hazijayeyuka. Tofauti sasa, mamlaka ya kulirudisha inatoka mhimili tofauti. Katiba yetu bhana.
JIONEE
🤣🤣🤣Sikiliza wabunge walivyokuwa wanashangilia! Na walipoambiwa kipindi kitaonyeshwa live, wanashangilia!
hakuna mtanzania mwenye akili atatazamaBunge lenyewe la ccm tupu sidhani kama lina mvuto tena kama ulivyokuwa huko nyuma kabla ya yule Ibilisi kuja kuteuwa bunge analolitaka yeye.
Wema unaotendwa gizani una walakini.Tuseme wazi tu, Magufuli hakutaka kabisa watanzania wajue ushenzi alioufanya despite ya fact that bunge alilizima kabisa.
Kuna mmoja alihoji swala la serikali kukopa sijui ilikuwa kipindi cha simba wa yudaRais ashasema kipindi kile kulikuwa na nidham ya woga sababu ya SIMBA WA YUDA, sasa uzuri siku hizi mawaziri hawafanyi mambo kwa kumuogopa Rais ila wanatumia common sense.
Though common sense is not common to all especially viongozi na wanachama wa CCM.Rais ashasema kipindi kile kulikuwa na nidham ya woga sababu ya SIMBA WA YUDA, sasa uzuri siku hizi mawaziri hawafanyi mambo kwa kumuogopa Rais ila wanatumia common sense.
Heri zimwi likujualo halikuli likakuisha.Wema unaotendwa gizani una walakini.