Eti Waziri Nape! Watanzania hawana shughuli za kufanya mpaka mnawarudishia Bunge 'Live'


Anaye mlipa mpiga zumari ndiye huchagua wimbo gani uimbwe. Huyu mheshimiwa ni mpiga zumari tu hana namna.
 
Kipindi kile bungeni kulikua na watu wenye akili kina Msigwa, Lissu n.k hivyo CCM kwa sera zake uchwara waliona wanaweza kuvuliwa nguo hadharani ndio maana wakaamua kuleta kitu edited.
Sasa hivi bungeni Kuna watu Kama
Taletale
Kibajaj
Msukuma
Huyu mbunge wa kimemo Nani huyu mburudishaji, compromised mzee halima and co. Mawaziri wenyewe ni kina mchengerwa, Nauye, Makamba, kikwete n.k.
Kwanza hata likionyeshwa live kwa lilivyo dorora hata umpe mtu pesa hawezi kuangalia.
 
Bunge lenyewe la ccm tupu sidhani kama lina mvuto tena kama ulivyokuwa huko nyuma kabla ya yule Ibilisi kuja kuteuwa bunge analolitaka yeye.

Exactly, na wanadhani wakiweka bunge live labda ndio watapata mvuto. Mwanamke kama umemchoka na humtaki hata akikaa uchi haisimami. Hivyo wala wasijisumbue na bunge live maana hatuna mzuka nalo.
 
Uamuzi wa kusitisha matangazo ya bunge yalifanywa na UTAWALA WA AWAMU YA 5....Nape halaumiki.....

#Siempre JMT🙏
 
Exactly, na wanadhani wakiweka bunge live labda ndio watapata mvuto. Mwanamke kama umemchoka na humtaki hata akikaa uchi haisimami. Hivyo wala wasijisumbue na bunge live maana hatuna mzuka nalo.
Umejipa mamlaka ya kuwasemea watanzania milioni 60?!!!😳😳
 
Watanzania 60m wana TV za kuona bunge live? Ni hivi hakuna mtu anayejitambua ana muda wa kuangalia bunge la majizi ya kura.
Nihesabia hao wanaojitambua na unaowajua wewe wa nchi nzima hii ......
 
Wanataka Wajumbe wa Mkutano mkuu wa CCM waonekane
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hii nchi ni ya kusadikika kweli. Kichwa cha mwendawazimu.
 
Hapa duniani namuogopa Mungu na Technologia.
 
Labda baada ya uchaguzi mkuu wa 2025, nitaangalia. Ila kwa sasa huo muda sina.
 
Mbona alikuwa na free mind suala la Makonda na Clouds mpaka akakubali matokeo ya kuachia uwaziri.
Mkuu hukumuona alivyotembezwa kilometa tano chini ya jua kali ndani ya viunga vya magogoni huku akifuta kijasho chembamba kilichokuwa kinamtiririka kwenda kupiga magoti mbele ya simba wa yuda...
Hakika alidhalilishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…