Eti we ukiambiwa uachane na mpenzi wako upewe Milioni 100 utakubali?

Eti we ukiambiwa uachane na mpenzi wako upewe Milioni 100 utakubali?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Eti we ukiambiwa uachane na mpenzi wako upewe Milioni 100 utakubali?
images%20(1).jpeg
 
mmmm kumbe hizo ndo 100m, nkajuaga ni pesa kibao kumbe ni tudogo hvy.
Hapana mkuu hizo ni km million 17 hv.nimeweka tu kwa niaba ya wapigania picha
Mia hizi hapa
 
Duuh! Labda waondoke naye sababu Kikawaida baada ya kupata hizo pesa lazima majeshi yarudishwe tu.

Sababu mapenzi ni kitu kingine aisee tena ukiangalia hakuna sababu iliyoleta huo ufa lazima hapo watu warudiane tu.
 
...yaani hata nafasi yakufikiria mara mbili mbili sinto kuwa nayo .. wanipe tu hizo pesa " ...mahusiano Yenyewe haya ya kibongo bongo full kichomi cha Moyo
 
Back
Top Bottom