Eti we ukiambiwa uachane na mpenzi wako upewe Milioni 100 utakubali?

Eti we ukiambiwa uachane na mpenzi wako upewe Milioni 100 utakubali?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122]
Moyo ni kitu kingine jirani.. Hata kama majalala ila ukirud ndani unaiona BOT ileee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Yaani acha tu sababu kikawaida mie hela ningezikataa aisee sababu zinatafutwa ila mpenzi lol. Kuanza tena moja hapana aiseee.

Hii labda kwa wale wenye mahusiano ya kujishikiza jirani.
 
Back
Top Bottom