Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Mimi ukinipa hata milion 10 nampiga hata ngumi za uso za fastafasta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa. Kuumbeee. Eeeee
Hahahaha nyongo mkalia ini hapo anavimba bichwa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Zipo wapi?Eti we ukiambiwa uachane na mpenzi wako upewe Milioni 100 utakubali?View attachment 891431
Hahahaaa. Hivyo weye jirani ungemuacha mazima sababu wanawake wapo wengi. Si eti?Wee account haijasoma ndio maana
Hahahaha nyongo mkalia ini hapo anavimba bichwa tu
I cant.. Utu/mapenzi na hela wap na wapi jirani. Hela zipo tu ndio maana wanasemaga pesa makaratasi hasara roho[emoji21][emoji21][emoji21]Hahahaaa. Hivyo weye jirani ungemuacha mazima sababu wanawake wapo wengi. Si eti?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Yaani acha tu sababu kikawaida mie hela ningezikataa aisee sababu zinatafutwa ila mpenzi lol. Kuanza tena moja hapana aiseee.
Hii labda kwa wale wenye mahusiano ya kujishikiza jirani.
Umeonaeeee. Kumbe una akili kama mie saa nyingine Jirani. 🙈🙈🙈I cant.. Utu/mapenzi na hela wap na wapi jirani. Hela zipo tu ndio maana wanasemaga pesa makaratasi hasara roho[emoji21][emoji21][emoji21]
Hahahaaaa. Kabisaaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122]
Moyo ni kitu kingine jirani.. Hata kama majalala ila ukirud ndani unaiona BOT ileee
Zipogo sema wewe ndio unazipeperushagaUmeonaeeee. Kumbe una akili kama mie saa nyingine Jirani. [emoji85][emoji85][emoji85]
Kabisaaa pesa makaratasi.
Always mapenzi yanarun dunia jirani.Hahahaaaa. Kabisaaaa.
Zipogo sema wewe ndio unazipeperushaga
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Niwache nini[emoji23][emoji23][emoji23]Wachaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe hujui pesa. Hta tano hazifikiHapana mkuu hizo ni km million 17 hv.nimeweka tu kwa niaba ya wapigania picha
Mia hizi hapa
[emoji846][emoji846][emoji846]Mimi ukinipa hata milion 10 nampiga hata ngumi za uso za fastafasta
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nipe laki 2 nikuachie mke na watoto
HahahahaMkuu nipe laki 2 nikuachie mke na watoto