Eti we ukiambiwa uachane na mpenzi wako upewe Milioni 100 utakubali?

Eti we ukiambiwa uachane na mpenzi wako upewe Milioni 100 utakubali?

Ya nini sasa hiyo milioni mia moja, pesa nitatafuta. Mwanamke mzuri raha kuwa naye bhana lazma nimjali kama mama yangu.
 
Haya maswali yanatakiwa yapelekwe Facebook na kwenye whatsapp groups za watoto wanao balehe na kuvunja ungo. Sio humu kwa watu wazima great thinkers
 
Duuh! Labda waondoke naye sababu Kikawaida baada ya kupata hizo pesa lazima majeshi yarudishwe tu.

Sababu mapenzi ni kitu kingine aisee tena ukiangalia hakuna sababu iliyoleta huo ufa lazima hapo watu warudiane tu.
[emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219]
 
Back
Top Bottom