Hapana mkuu hizo ni km million 17 hv.nimeweka tu kwa niaba ya wapigania picha
Mia hizi hapa
Amka kumekucha hio ndoto ni mbaya sanaEti we ukiambiwa uachane na mpenzi wako upewe Milioni 100 utakubali?View attachment 891431
Ndio naijua Mangi.Unaijua milion 100 wewe?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hizo ndio milioni 100?Eti we ukiambiwa uachane na mpenzi wako upewe Milioni 100 utakubali?View attachment 891431
Huijui hajar,Ndio naijua Mangi.
Hivyo ungekua wewe ungemuacha mazima.
Hahahaaaaa. Lol.Huijui hajar,
Huijui kabisaaa!!
HahahhahahahaHahahaaaaa. Lol.
Basi wacha nikubaliane na weye Mangi
Ndiiioo. ππHahahhahahaha
Hajar bhanaa!!
Kwa mke au mchumba hata mimi sikubali,,,lakini mchepuko hata 10M namuacha tuYa nini sasa hiyo milioni mia moja, pesa nitatafuta. Mwanamke mzuri raha kuwa naye bhana lazma nimjali kama mama yangu.
We ungekubali??!!mi ningekubali na ningempa na kipigo cha mbwa koko ye mamaakeEti we ukiambiwa uachane na mpenzi wako upewe Milioni 100 utakubali?View attachment 891431
[emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219]Duuh! Labda waondoke naye sababu Kikawaida baada ya kupata hizo pesa lazima majeshi yarudishwe tu.
Sababu mapenzi ni kitu kingine aisee tena ukiangalia hakuna sababu iliyoleta huo ufa lazima hapo watu warudiane tu.
Kuijua na na account kusoma TZS 100mn ni vitu viwili tofauti jirani[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio naijua Mangi.
Hivyo ungekua wewe ungemuacha mazima.
Hahaaa. Kuumbeee. EeeeeKuijua na na account kusoma TZS 100mn ni vitu viwili tofauti jirani[emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ[emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219][emoji219]