Eti we ukiambiwa uachane na mpenzi wako upewe Milioni 100 utakubali?

Hauwezi kulinganisha pesa na mapenzi....swala la kuachana ni hisia tu kama ukiamua kuachana haihitajiki hata mia au hata senti tano.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Yaani acha tu sababu kikawaida mie hela ningezikataa aisee sababu zinatafutwa ila mpenzi lol. Kuanza tena moja hapana aiseee.

Hii labda kwa wale wenye mahusiano ya kujishikiza jirani.
πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…