FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Umesema kweli mkuu,ila mwenye maadili ya kiafrika asingeacha watt wake yy atafute raha huku bongo
Mnavyopenda hili neno maadili ya kiafrika/kitanzania.....kuna kina mama kibao uswazi wanawasotesha watoto wao mpaka watoto wanatamani Mama awe anashinda kwenye vigodoro.
Ratiba ya mama kwa siku.....akimaliza kuuza mihogo kwenye mataptap, kurudi usiku mnene akiwa na "mshikaji", mtoto ataitwa majna yote, kuanzia Ngedere, Kima mpaka Ndorobo....yaani fulu adhabu kwa watoto...nadhani tungewahurumia hawa na sio wale wa Zari.