sweetie stone
JF-Expert Member
- Apr 12, 2014
- 417
- 95
We imelda wewe tunajua sana kuwa wema ni boss wako msituletee ushabiki mavi wenu apa mxiuuu kila siku zari zari mbona yeye hana muda na nyie? Ebu acheni uswahili au huyo mpuuzi wenu hana soko mnaona mkimuandika zari ndo mtauza mxiuuu
Njaa zitamponza huyu imelda mshamba sana kumfatilia mwenzao wakati hana muda nao huyo boss wao ni house girl tu kwa ZARI