Eti Wema mzuri zaidi kumzidi Zari?

Eti Wema mzuri zaidi kumzidi Zari?

We imelda wewe tunajua sana kuwa wema ni boss wako msituletee ushabiki mavi wenu apa mxiuuu kila siku zari zari mbona yeye hana muda na nyie? Ebu acheni uswahili au huyo mpuuzi wenu hana soko mnaona mkimuandika zari ndo mtauza mxiuuu

Njaa zitamponza huyu imelda mshamba sana kumfatilia mwenzao wakati hana muda nao huyo boss wao ni house girl tu kwa ZARI
 
Kama ni make up mpake bibi sub ufa tuone kama atakuwa kama zari
 
Mpk watokee wengine vinginevyo tutakoma.
 
attachment.php

hahahahaaa tupe na ile aliyokuwa kanyoa kipara siku alipoenda kufamfanyia fujo imelda, ndio wajue nini maana yake.
 
Umesema kweli mkuu,ila mwenye maadili ya kiafrika asingeacha watt wake yy atafute raha huku bongo

kwani watoto wake ni wachanga jamani, and sidhani kama 24/7 yupo kwenye starehe tuu, she is chasing paper as well.
 
wanasema huyo , janeti ndio huyo mnene ambaye lemutuz alisemaga yeye ndio dogi akabisha...so ndio hao hao uoni mashosti wapya wa w. Kisa kutukana watu wamepewa cheo cha ushosti.

Na dogi katika kutukana alishasemaga yeye ni chotara wa singida au shinyanga....blah blah bla

dogi huyu half caste si mnamuona alivyokaa kiswahili swahili!!
 
hivi nyie tunaopiga umbea hapa mnakumbuka ile sheria? Maana nimejisahau nimeropoka weeee ndio nakumbuka sasa hivi!
Tukikutana huko segerea itabidi tuulizane kama kuna member wa jf celebrities tuendeleze umbea hukohuko....
Hahahahahaa

uwe unanicall best
mwenzio ig mrekebisha tabia kanifungia kisa nilimuita mnafki,hana mungu na pathetic anamuogopa dogi kuliko ukweli halisi
kaniblock yule dada kumbe bureeee
 
uwe unanicall best
mwenzio ig mrekebisha tabia kanifungia kisa nilimuita mnafki,hana mungu na pathetic anamuogopa dogi kuliko ukweli halisi
kaniblock yule dada kumbe bureeee

Heeee,pole zako.Mimi huyo mrekebisha tabia nilikua namfollow zamani lakini sasa hivi naona hamna kitu.
Kwanini ulimuambia yote hayo? Ilikuwaje?
 
Heeee,pole zako.Mimi huyo mrekebisha tabia nilikua namfollow zamani lakini sasa hivi naona hamna kitu.
Kwanini ulimuambia yote hayo? Ilikuwaje?

alipondea matusi wanaoyutukanana ig ila akamtetea dogi eti yuko sahihi kwa anachokifanya
nkamwambia uko bias na mnafiki na huna MUNGU maana si ktk silka ya mchamungu kua mnafki
kanifungia
 
alipondea matusi wanaoyutukanana ig ila akamtetea dogi eti yuko sahihi kwa anachokifanya
nkamwambia uko bias na mnafiki na huna MUNGU maana si ktk silka ya mchamungu kua mnafki
kanifungia

Shoga nina ac yangu fake lakini kuna baadhi ya watu nikicomment wananiambia comment blocked!
Sijui tatizo ni nini!
 
yaani wanaume wote hao wametwanga papuch 1 hakika zari ni machine inaimili vishindo
 
Back
Top Bottom