Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mwenzangu tumepiga umbea hapa hadi basi.Ila sisi wambea ni baadae sana kukamatwa labda tuwaseme waheshimiwa.
Anaenda polisi kushtaki kua kuna watu wanamsema kwa uongo huku JF halafu akina Max ndio wanabanwa watoe taarifa zako shoga!
Hapo ndio kesi inaenda mahakamani kama ni mwenzangu na mimi huna hata pesa ya faini unaenda segerea.
Ooohhhh kwa hiyo kina Max wanajua sie tupo wapi wote humu waliojiunga jf