Eti Wema mzuri zaidi kumzidi Zari?

Eti Wema mzuri zaidi kumzidi Zari?

Mwenzangu tumepiga umbea hapa hadi basi.Ila sisi wambea ni baadae sana kukamatwa labda tuwaseme waheshimiwa.

Anaenda polisi kushtaki kua kuna watu wanamsema kwa uongo huku JF halafu akina Max ndio wanabanwa watoe taarifa zako shoga!
Hapo ndio kesi inaenda mahakamani kama ni mwenzangu na mimi huna hata pesa ya faini unaenda segerea.

Ooohhhh kwa hiyo kina Max wanajua sie tupo wapi wote humu waliojiunga jf
 
Zaidi ya janga sijui ni nani aliwadaganya kuwa weupe ndo uzuri na dili kama weupe ungekua deal aisee ubuyu usingekua una pakwa rangi yani kuna waliojichubua mashavu mekundu hadi kinyaa michirizi sasa.

Uwiiiiiii! Umenikumbusha shangingi moja la magomeni jamani kuna siku nililiona kwa ukaribu nilisikia kinyaa hadi nikashindwa kula kwa jinsi alivyojichubua!
Yaani ujue mwili uko kama karatasi ile mishipa inavyoonekana....uwiiiii kama rais angekua hajasaini ule muswada ningemtaja kwa jina kabisa!
 
Ooohhhh kwa hiyo kina Max wanajua sie tupo wapi wote humu waliojiunga jf

Sio wanajua tuko wapi tu,hata majina yetu wanayajua vizuri tu.

Hivi ninavyosema nahisi tu jamani sina uhakika nisijekupigwa ban bure.
 
Uwiiiiiii! Umenikumbusha shangingi moja la magomeni jamani kuna siku nililiona kwa ukaribu nilisikia kinyaa hadi nikashindwa kula kwa jinsi alivyojichubua!
Yaani ujue mwili uko kama karatasi ile mishipa inavyoonekana....uwiiiii kama rais angekua hajasaini ule muswada ningemtaja kwa jina kabisa!

Kwa nini isipitishwe sheria ya kutojichubua mfyuuuuuu
Ushamuona mke wa fella utacheka mpaka basiii kama jini
 
Nilishamuona shoga angu.Yaani hadi kawa kama mdoli jamani!

Halafu hao wajinga wenzie wanauliziaje huo mkorogo wake?
Yule naona hata kuandika vizuri hajui nahisi kaishia darasa la 7 yule.
 
Uwiiiiiii! Umenikumbusha shangingi moja la magomeni jamani kuna siku nililiona kwa ukaribu nilisikia kinyaa hadi nikashindwa kula kwa jinsi alivyojichubua!
Yaani ujue mwili uko kama karatasi ile mishipa inavyoonekana....uwiiiii kama rais angekua hajasaini ule muswada ningemtaja kwa jina kabisa!

Ha haaaaaa chakushangaza siku hizi hadi wamama watu wazima wanatumia mikorogo hafu bado wanatembea juani mikorogo yenye ya kichina wanatisha ka nini?
 
Kwa nini isipitishwe sheria ya kutojichubua mfyuuuuuu
Ushamuona mke wa fella utacheka mpaka basiii kama jini

Ikipitishwa hio madadaduu watatisha sana aisee mana ndo inawafanya hata waonekane kidogo. Yani mtu anaharibu rangi yake badala apendeze ndo anatisha na kutia huruma wanaume wanao wa do wana moyo aisee.
 
Ha haaaaaa chakushangaza siku hizi hadi wamama watu wazima wanatumia mikorogo hafu bado wanatembea juani mikorogo yenye ya kichina wanatisha ka nini?

😡😡 Diva leo naona leo umeamua kunifanya nisile dinner yangu kabisaaa!

Jamani ukikaa uswahilini utachoka maana ukimuona mtu usoni (kama ndio anaanza) anang'aaje? Muangalie mikono na miguu alivyo na madoa kama kenge sasa!
Ila kuna watu wanajichubua kidigitali mwenzangu wala hawatishi kama akina Kajala!
 
Last edited by a moderator:

Kula basi weye ni kweli hasa wa uswahili ndo wanaongoza hizo mambo za kitaulo kwa kwenda mbele akianza kweli ana shine ngoja ianze madhara yake ngozi nyepesi hadi mishipa inaonekana kwenye vidole kwenye magoti na makalio mkorogo hudunda sijui kwanini aisee.

Hao wanaojichubua kidigitali wanatumia mikorogo first class kama ya kina Beyonce ambayo wabongo wengi hawawezi Ku afford gharama yake hata upatikanaji ni shida. Naskia wanatumia Colgate na maji ya Betri.
 
Last edited by a moderator:
Uwiiiiiii! Umenikumbusha shangingi moja la magomeni jamani kuna siku nililiona kwa ukaribu nilisikia kinyaa hadi nikashindwa kula kwa jinsi alivyojichubua!
Yaani ujue mwili uko kama karatasi ile mishipa inavyoonekana....uwiiiii kama rais angekua hajasaini ule muswada ningemtaja kwa jina kabisa!

Ila hii kali kasaini tarehe ngapi....ujumbe ulitolewa na waziri aliyeenda kwenye uvumbuzi wa kitabu cha chozi cha charity. Wameandika kwenye gazeti sijui lipi
 
Wala usiulize taarifa za kusainiwa lini,wewe chukua tahadhari tu.
 
Kula basi weye ni kweli hasa wa uswahili ndo wanaongoza hizo mambo za kitaulo kwa kwenda mbele akianza kweli ana shine ngoja ianze madhara yake ngozi nyepesi hadi mishipa inaonekana kwenye vidole kwenye magoti na makalio mkorogo hudunda sijui kwanini aisee.

Hao wanaojichubua kidigitali wanatumia mikorogo first class kama ya kina Beyonce ambayo wabongo wengi hawawezi Ku afford gharama yake hata upatikanaji ni shida. Naskia wanatumia Colgate na maji ya Betri.

Haaaaaaahaaa et colget na maj ya betr uswaz bhan utakut jua kal mimake up inamshuka na miremb na dira zako hhaahhai
 
Mwenzangu yamenikuta uko insta wewe hadi nimebadilisha ID na nimeweka private watu wananitafuta kwa udi na uvumba mmh ni shidaa umbea huu hatr tutakufa mwaka huu, ila msijal wambea wenzangu nikikamatwa nitakuwa shujaa na nyie msiache umbea uko tudumisheni umbea mpaka kifo kitakapotupata hahahah ahaha
warumi please ni PM your id huko insta nikufollow :becky:
 
Zari kamzidi kwa kila kitu...kikitajwa Zari anachukua tiki, hata maisha ya Diamond yanaonesha utofauti tangu awe na Zari. D anaongelea biashara zaidi, ameonyesha mengi wengi tulikuwa hatujui anayo au anafanya tangu zamani na anazidi kuongeza kufanya. na kikubwa pia ni anampikia D chakula nyumbani.
 
sasa hivi nasoma global online nakutana na mpicha mkubwa wa aliorusha ya gazeti

kwa hiyo mwandishi, ambae ni rafiki yake wema kapanga nae kuchakachua picha ya Zari hadi macho na ngozi usoni kidevuni shingoni, ili kumtukana na kutaka achukiwe wakati wanajua kabisa sura yake haiko hivyo, wamefanya kutaka aonekane ni mzee. wema tunajua sura yake haiko swafi kama ulivyomuweka.

kwa hamu uliyokuwa nayo ulienda kujigonga siku ya interview clouds ukakuta Zari sio wa level ya vigodoro bali ni high class ukakosa raha hata swali halikukutoka ulilotumwa uulize ukauliza kichekesho.

hivi wanajua nani mjinga au wao ndio wajinga wao?

acheni wivu tengenezeni pesa yenu nanyi muishi kwa furaha, acha kwenda kwenye matukio ya Diamond na Zari kama unajua unawachukia.

eti nauliza kula hongo kuna mwisho?

ona picha kwa size kubwa....

sheria imeingia kumbuka
 
kawema kazuri....chuki naweka pembeni........mwacheni mdada wa watu......watu wengine wana chuki binafsi.tu
 
Tmmmhhh mbona hata wema anapaka sana make up,zari ni mrembo tu hata wamsemeje jamaniiii

Tena tukija kwenye swala la makeup wema anazidisha kujipodoa zari huwa anapaka makeup simple sana.kweli kabisa zari mzuri makeup ni nyongeza tu.
 
Ujue mi nlikuwa nahangaika kujua who's behind of ol ds madness???bt ulipotaja imelda duh yan
baaaass nshapata jib, coz huyu dada ni type ya walala hoi wanaoendeshwa na njaa zao na si taaluma zao

Na sidhani hata kama hiyo taaluma anayo.
 
A women is a jewelry and the best jewelry is a noble women.
Wanao zaa zaa hovyo mabazi si wazuri
 
Back
Top Bottom