Eti Wema mzuri zaidi kumzidi Zari?

Eti Wema mzuri zaidi kumzidi Zari?

Mhhhhh mwenzangu imelda mbaya jamani?
Hiyo mikono kama tembo na bado anavaa nguo za wazi!

Loh anatishaje? Sio sura ile kwa kweli mmh kama sokwe aliyekufa mxiuuu
 
Kwani dougie ndio yupi katika zile picha za mwanza? Hebu tuwekee hapa basi maana mimi sijajua kuhusu hilo.

Ngoja nizisake...kuna mtu alicomment sat asubuhi kusema nae kaenda nae... Later picha zilipotoka wakaongelea ilabhawazizungushi....na wema hajarusha hadi sasa.
 
ha ha ha...wakati mwingine bora hizi habari wangeandikaga waandishi wa kiume...
Baada ya kuona picha ya mwandishi nilijua tu lazima kibao kimgeukie....

Hhhhhaaaa yaan ni balaaa na huyu ana mwanaume hua analia kwenye kinena chake chezeaaaaa k
 
Mhhhhh mwenzangu imelda mbaya jamani?
Hiyo mikono kama tembo na bado anavaa nguo za wazi!

Kumbuk kuna kidume hua kinalia juu ya kifua cha imelda😜😜😝
 
Kwani dougie ndio yupi katika zile picha za mwanza? Hebu tuwekee hapa basi maana mimi sijajua kuhusu hilo.

Wanasema huyo , janeti ndio huyo mnene ambaye Lemutuz alisemaga yeye ndio dogi akabisha...so ndio hao hao uoni mashosti wapya wa w. Kisa kutukana watu wamepewa cheo cha ushosti.

Na dogi katika kutukana alishasemaga yeye ni chotara wa Singida au Shinyanga....blah blah bla
 
Attachments

  • 1430759387737.jpg
    1430759387737.jpg
    26.5 KB · Views: 302
  • 1430759406117.jpg
    1430759406117.jpg
    24 KB · Views: 484
  • 1430759428236.jpg
    1430759428236.jpg
    20 KB · Views: 290
Ngoja nizisake...kuna mtu alicomment sat asubuhi kusema nae kaenda nae... Later picha zilipotoka wakaongelea ilabhawazizungushi....na wema hajarusha hadi sasa.

Ndio maana nilisemaga kua wema anamjua sana dogi najikatalishaga mfuuu nafiki kweliiiiiii
 
Ebu ongea wewe maana huyu wema mpuuzi tu kufananishwa na zari

We nawe hueleweki juzi umeweka post insta ukasema zari hamfikii wema kwa uzuri sema wema hajui kutumia fursa ukasema zaidi kina wolper kajala sjui wangekua na umoja wakafanya la maana.....sijui ukapata kadi ya bure leo unajifanya eti mxiuuuuuu wema ni mpuuzi kumfananisha na zari na unamtukana imelda .........
 
Back
Top Bottom