Vitaimana
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 3,535
- 1,562
Achen mambo ya ajabu kutuwekea mijadala ya ajabu kama hii, waacheni na maisha yao.
kuna majukwaa mengi! pakikuboa hapa unahamia eatel!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achen mambo ya ajabu kutuwekea mijadala ya ajabu kama hii, waacheni na maisha yao.
Umesema point kweli zinachosha pia. Comparison nzuri ingekua ni wote kulingana kiumri kuwa wote na watoto watatu, biashara, na kila kitu hizo nyingine minor case tu Zari ni Zari ana nafasi yake uzuri wake na ubovu wake, the same to Wema.
Naona kama kuna tofauti ya uzuri na urembo. Wema ni mzuri, zari mrembo ila mimi Ni mzuri kushinda wema. raha jipe mwenyewe wazuri tupo wengi ila hao ni maarufu.
Hii ni sawa na Mwanamke aliyeolewa kujikinganisha na Mama mkwe wake...Yaan huwa nakereka sema basi tu mtu anawatoto watatu bado mnalinganisha tu.Haya linganisheni Rose muhando na Khadija kopa.
Kula like 1000 kuna wa2 wakiskia haya maneno yko povu litawatoka m2 hana hata biashara y genge ila kila kukicha kelele 2 umri nao unaenda kizazi cha wahongaji nacho kinapotea,ataja stuka akifika umri w bi chau
Binamu mbona Zari nimkubwa sana kwa Wema,yes ni mpuuzi labda na akili yake bado haija changanya lakini Zari unataka kunambia yeye ni Natural beauty yake ile? simchuki Zari wala Simpendi Wema lakini napenda kua fair kwa wote,Wema ana uzuri wake na Zari pia ana uzuri wake...
We nyani ngabu zari anaumbo gani ni wakawaida sana wala simchukii ashukuru pesa
Umejuaje umepotea kama hujui unapokwenda?
Apart from being a mother of 3 kids, you can not compare zari to wema, they are different interms of social status and nationality, so kumfananisha wema na zari ni kumuonea wema tu
huyo bibi bomba mbona hatishi? na vimiguu vile kama toothpick!
Diamond mwenyewe aliwahi kukiri kuwa zari ana ngozi nzuri, sasa nyie team mbwa mwitu mnakuja na takwimu zenu za ajabu, zari ana maisha mazuri yule na ameishi sana nje ye kupigwa na jua hajui kabisa huyo wema wenu kila siku kwenye vigodor mpaka mikorogo inadunda mxiuu
Hii ni sawa na Mwanamke aliyeolewa kujikinganisha na Mama mkwe wake...Yaan huwa nakereka sema basi tu mtu anawatoto watatu bado mnalinganisha tu.Haya linganisheni Rose muhando na Khadija kopa.
Sasa Idris akapost picha kama kawa....kumbe hakuichakachua....duh ilipodakwa na kuanza kuzunguka ndio wema akamuomba aifute akaichakachua na kupost ingine kwa bahati mbaya yake ilishazunguka...ndio hiyo miguu aka edit then wakamtumia airushe tena....
Yaani mikorogo na michiriI imejaaa...kumbe anachakachua picha hata za usoni kwake kudanganya. Makeup inamkataaaa...matako ya mchina
Zari ni hakunaga
Na huyu wanasema ndio anafanya global publisher anahongwa na wema na ametokea kwenye tv program yake so anakula hela ili ampaishe wema hadi anaandika upumbavu mkubwa kama vile sio mwandiahi wa habari....
Alipataje kazi huyu imelda?