Texas Tom.
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 510
- 273
Samahanini wanajukwaa...naomba kuuliza, nimepotea njia ya kule jukwaani kwetu kwenye siasa naulizia njia ya kuelekea huko...Samahani sana!! uzee huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahanini wanajukwaa...naomba kuuliza, nimepotea njia ya kule jukwaani kwetu kwenye siasa naulizia njia ya kuelekea huko...Samahani sana!! uzee huu.
Tumechoka na hizi ligi za wema na Zari.Bahati mbaya hawako sawa kiumri hivyo inakua vigumu kuwalinganisha kiujumla.
Ila huyu binti ni mzuri,hata kama ni mek up unapaswa uwe na sura nzur ati...
Binamu mbona Zari nimkubwa sana kwa Wema,yes ni mpuuzi labda na akili yake bado haija changanya lakini Zari unataka kunambia yeye ni Natural beauty yake ile? simchuki Zari wala Simpendi Wema lakini napenda kua fair kwa wote,Wema ana uzuri wake na Zari pia ana uzuri wake...
Hahahaaaa yan global wanasikitisha sana et maoni ya mashabik????? Wangap??? kw utafit upi????? Hv hta sisi tusio vipofu wanatak kutulazmisha tuamin huu ushuz wao????? Poor them!!!!
mmmmmhhhh huu sasa utani aisee.
Zari ni habari nyingine kwakweli, plus ile ngozi yake duh mzuri.
Or else labda tuseme kila mtu na jicho lake
Umesema point kweli zinachosha pia. Comparison nzuri ingekua ni wote kulingana kiumri kuwa wote na watoto watatu, biashara, na kila kitu hizo nyingine minor case tu Zari ni Zari ana nafasi yake uzuri wake na ubovu wake, the same to Wema.
Wema hamfiikii zari kwa chochote kwa kweli tuache kujidanganya, sio kimaisha akili wala uzuri, inshort wema sio type ya zari kabisa
Wema hamfiikii zari kwa chochote kwa kweli tuache kujidanganya, sio kimaisha akili wala uzuri, inshort wema sio type ya zari kabisa
Mchawi tumseme ila sifa ya kupaa na ungo wake tumpe! zari mzuri! mwangalie bibi bomba wetu hajazaa hata mtoto mmoja kashazeeka! halafu hana future wala akili ya maisha! mwenzie starehe anafanya na pesa anajua kuzisaka! Huyu bibi bomba wetu hata saloon ya mil 5 hana kazi kuonekana anatumia pesa tu!
Zari is a woman.
Ebu nisaidie kushangaa hawa itakuwa waliwafanyia mahojiajo team wema ndio maana mxiuuu, ili li imelda silipendi na lilivyokuwa na sura kama sokwe mxiuu