Eti Wema mzuri zaidi kumzidi Zari?

Eti Wema mzuri zaidi kumzidi Zari?

Ila jamani zari katulia hana mapepe kama wema ,,yaan anajiweka sijui aje nisemejee,,mambo yake ni taratibu hakumbatii watu hovyo kama wema,hana mashoga holela ,ingekua wema yupo palee angelewaa yaan ingekua ni kigodoro si kigodoroo
 
Mhhhhh mwenzangu imelda mbaya jamani?
Hiyo mikono kama tembo na bado anavaa nguo za wazi!

Ha haaa hafu kinachonishangaza yeye namuona mtu mzima lakini anajichaganya na kina Wema na Auntie.
 
Wanasema huyo , janeti ndio huyo mnene ambaye Lemutuz alisemaga yeye ndio dogi akabisha...so ndio hao hao uoni mashosti wapya wa w. Kisa kutukana watu wamepewa cheo cha ushosti.

Na dogi katika kutukana alishasemaga yeye ni chotara wa Singida au Shinyanga....blah blah bla

Kwa hiyo huyo mwarabu atakua ni dogii
 
Ila jamani zari katulia hana mapepe kama wema ,,yaan anajiweka sijui aje nisemejee,,mambo yake ni taratibu hakumbatii watu hovyo kama wema,hana mashoga holela ,ingekua wema yupo palee angelewaa yaan ingekua ni kigodoro si kigodoroo

Ahahahahaha zari yupo ki marekani zaidi hana shobo na watu ovyo yule ***** yupo kivyake tu
 
Kwa hiyo huyo mwarabu atakua ni dogii

Ukiangalia picha kawarusha wenzake tu..

So inasema ndio yeye...atakuja kusoma humu akanushe kama kawaida yake.

Watu wanaofatilia wanaunganisha dots za maneno yake na wanayoturushia pichani.

Ila nilisubiria nione waliosema kaenda na w Mwanza wataconfirm vipi basi nao hao wakarusha wenzake picha...
 
Kweli mikorogo ni hatari sana wana moyo wa chuma aisee mi siwezi kabisa kutokuheshimu mwili tu.Akizaa si ndo majanga itakua sasa au afikishe thelathini na tano utamsahau.

Hahahahaaa mikorogo ni janga shoga angu! Halafu ajabu kuna watu bado wanaendelea kujichubua na wengine wanaanza.
Mimi siwezi kwakweli,natumia cocoa butter lotion lakini hatari sana.
 
Wanasema huyo , janeti ndio huyo mnene ambaye Lemutuz alisemaga yeye ndio dogi akabisha...so ndio hao hao uoni mashosti wapya wa w. Kisa kutukana watu wamepewa cheo cha ushosti.

Na dogi katika kutukana alishasemaga yeye ni chotara wa Singida au Shinyanga....blah blah bla

Kama ndio yeye huyo dada basi ana shepu mbaya.Anajitahidi lakini wapi.
 
Ha haaa hafu kinachonishangaza yeye namuona mtu mzima lakini anajichaganya na kina Wema na Auntie.

Mwenzangu hadi akaenda kujionesha kwenye in my shoes! Eti akawa anampa wema ushauri sijui!
Nae anajiweka kwenye kundi la wadada wa mujini! Loooh, kwa sura gani kwanza?
Hebu atulie nyumbani anyonyeshe mtoto.
 
Hivi nyie tunaopiga umbea hapa mnakumbuka ile sheria? Maana nimejisahau nimeropoka weeee ndio nakumbuka sasa hivi!
Tukikutana huko segerea itabidi tuulizane kama kuna member wa JF celebrities tuendeleze umbea hukohuko....
Hahahahahaa
 
Haaaaaaaahaaaaaaaaaa jaman mi sheria nshasahau
 
Hivi nyie tunaopiga umbea hapa mnakumbuka ile sheria? Maana nimejisahau nimeropoka weeee ndio nakumbuka sasa hivi!
Tukikutana huko segerea itabidi tuulizane kama kuna member wa JF celebrities tuendeleze umbea hukohuko....
Hahahahahaa

Hhhhhaaaaaa aiseeee sasa hivi kuandika kwa adabu zotee eeeee hivi wantuchungulia wapiii kutujua halaf mfano we Nifah ukinitukana naenda kushtaki kua nifah wa jf kanitukana au inakuwajee
 
Hahahahaaa mikorogo ni janga shoga angu! Halafu ajabu kuna watu bado wanaendelea kujichubua na wengine wanaanza.
Mimi siwezi kwakweli,natumia cocoa butter lotion lakini hatari sana.

Zaidi ya janga sijui ni nani aliwadaganya kuwa weupe ndo uzuri na dili kama weupe ungekua deal aisee ubuyu usingekua una pakwa rangi yani kuna waliojichubua mashavu mekundu hadi kinyaa michirizi sasa.
 
Hhhhhaaaaaa aiseeee sasa hivi kuandika kwa adabu zotee eeeee hivi wantuchungulia wapiii kutujua halaf mfano we Nifah ukinitukana naenda kushtaki kua nifah wa jf kanitukana au inakuwajee

Mwenzangu tumepiga umbea hapa hadi basi.Ila sisi wambea ni baadae sana kukamatwa labda tuwaseme waheshimiwa.

Anaenda polisi kushtaki kua kuna watu wanamsema kwa uongo huku JF halafu akina Max ndio wanabanwa watoe taarifa zako shoga!
Hapo ndio kesi inaenda mahakamani kama ni mwenzangu na mimi huna hata pesa ya faini unaenda segerea.
 
Back
Top Bottom