Umesema kweli mkuu,ila mwenye maadili ya kiafrika asingeacha watt wake yy atafute raha huku bongo
Mnavyopenda hili neno maadili ya kiafrika/kitanzania.....kuna kina mama kibao uswazi wanawasotesha watoto wao mpaka watoto wanatamani Mama awe anashinda kwenye vigodoro.
Ratiba ya mama kwa siku.....akimaliza kuuza mihogo kwenye mataptap, kurudi usiku mnene akiwa na "mshikaji", mtoto ataitwa majna yote, kuanzia Ngedere, Kima mpaka Ndorobo....yaani fulu adhabu kwa watoto...nadhani tungewahurumia hawa na sio wale wa Zari.
wema na zari kwangu mimi naona wema mzuri sana.. sipendi wanawake wafupi., hilo ni chaguo langu tuu wajameni!!
Wema mzur jaman zari wa kawaida tuu....
Hata Zari angekua na umri kama wa wema bado angekalishwa sema tuu ni mama ake wema kasoro
Atishe kawa jinamizi wote wawili hakuna kitu washukuru vipodoz
Uzuri wao anaujua diamond,nyie wengne uzur gan mnaoujua
Kwani Zarinah ni mfupi au mrefu?
mfupi .. hakatizi 5'5 huyo.. ndo maana yuko sawa domo.. Wema kwa domo alikua mrefu sana kiufupi walikua hawapendezi kama sasa hivi Zarinah na domo.. uamuzi alioufanya wema wa kuachana na domo ni wa busara kwani hawaendani kwa vitu vingi tu.. huyu kakulia tandale na yule O'bay tena kwa baba diplomat wapi na wapi?
makavu live!