Eti Yanga kuwafunga vibonde, nyie kawafunga mara ngapi?

Lini yanga amwewahi ifunga simba japo 4 kwa 3?, achilia mbali 3 bila?.

Ukiona hivyo ujue unatafuta sehemu ya kupumlia maana uwezo wenu kimataifa unajulikana hususani mnapokutana na timu ndogo kama rivers mnachapika nje ndani.

Nabi akishinda kimataifa jua alikuwa anacheza na wauza chai mtaani maana hata somalia u20 aliwashindwa.
 
Simba ilisha wahi kufungwa 5-0 achana na mambo ya goli 4. Kama hujawahi kusikia muulize babayako kama ni mfuatiliaji wa soka atakumbuka.
 
Najua umekasilika coz mnapenda Mayele awafunge nyie tu. Wivu mbaya sana
 
Ukiatoa uchawi na kubebwa na waamuzi,utopolo haina ujanja wowote.
Timu imefika kwa bus jana SAA 5 usiku,ila wamewakazia dakika 45!
Bado mnakesha bar kusherehekea hat trick na kwa wengi wenu hamjui hata mko hatua gani.
Afya ya akili itatibiwa tar 23 Oct. Baada ya hapo ndio akili zitawakaa sawa
 
Ukiatoa uchawi na kubebwa na waamuzi,utopolo haina ujanja wowote.
Timu imefika kwa bus jana SAA 5 usiku,ila wamewakazia dakika 45!
Bado mnakesha bar kusherehekea hat trick na kwa wengi wenu hamjui hata mko hatua gani.
Mmepigwa na yanga mara 3 mtawalia ambayo ni sawa na hat trick sijui unahitaji hat trick ipi nyingine, kama ni kibonde basi nyie inaonekana ni vibonde zaidi ya hao zahlan maana kwa akili ya kawaida uwezi kuwa unapigwa tu kila mechi na wala ubadiliki ata kiufundi ni maumivu makubwa sana
 
Yanga mtu wanayeweza kumfunga ni zalan fc tu akija kushinda mechi nyingine baada ya zalan kutolewa mniite mbwa nipo hapa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yanga mtu wanayeweza kumfunga ni zalan fc tu akija kushinda mechi nyingine baada ya zalan kutolewa mniite mbwa nipo hapa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Duuuuh kwa hio umeridhia kua mbwa mkuu?
๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ