Cpp
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 1,199
- 2,403
Mmepigwa na yanga mara 3 mtawalia ambayo ni sawa na hat trick sijui unahitaji hat trick ipi nyingine, kama ni kibonde basi nyie inaonekana ni vibonde zaidi ya hao zahlan maana kwa akili ya kawaida uwezi kuwa unapigwa tu kila mechi na wala ubadiliki ata kiufundi ni maumivu makubwa
Kama yanga akishinda game raundi ya kwanza sawaDuuuuh kwa hio umeridhia kua mbwa mkuu?
😂