Eti Yanga kuwafunga vibonde, nyie kawafunga mara ngapi?

Simba ilisha wahi kufungwa 5-0 achana na mambo ya goli 4. Kama hujawahi kusikia muulize babayako kama ni mfuatiliaji wa soka atakumbuka.
Kwamba amuulize dingi yake, dah kmmk watu![emoji1787][emoji1787]
 
Simba ilisha wahi kufungwa 5-0 achana na mambo ya goli 4. Kama hujawahi kusikia muulize babayako kama ni mfuatiliaji wa soka atakumbuka.
Na nyie mlifungwa 6 hiyo zamani, muulize baba yako mkubwa akuambie,

Usisahau 5 kwa 0 2012
Na FA 4 kwa 1.
 
Ukiatoa uchawi na kubebwa na waamuzi,utopolo haina ujanja wowote.
Timu imefika kwa bus jana SAA 5 usiku,ila wamewakazia dakika 45!
Bado mnakesha bar kusherehekea hat trick na kwa wengi wenu hamjui hata mko hatua gani.
Yaani Hawa watu Wana Shida Jana nilikuwa bar Moja hivi nakunywa Apple punch yangu Tuiikuwa tukuiangalia mech zote Kwa pamoja kama kawaida wenye DNA ya mashindano haya wakapata goli via Phiri Mshabiki wa Simba Wala hawakushangilia kwa nongwa waliishia kupiga makofi tu,maisha yakaendelea kipindi cha pili UTOPOLO wakapata Goli uwiíiiiiiiiii ghafla watu wakapanda juu ya meza hata wengine juu ya mapaa ya nyumba za watu.kugalagala kwenye madimbwi ya maji kana kwamba wameifunga Rivers United kumbe wamekutana na Timu kiponde hivi.Kweli Lucy Emel hakukosea kuwaita naniii hiiiiii.....
Ndimi Mshabiki wa Taifa Stars
 
Kama zalan ni kibonde nyinyi Simba mtakuwa manyonyo,mayele &fei Toto ndio hao hao wanawafunga makolo kila mechi
 
Ndo maana rage akukosea kuwaita mbumbumbu, unapishindwa kuukubali uwezo wa mwenzako na kuendekeza mambo ya ajabu ajabu basi ujue utaendelea kudumaa kiakili na kimawazo, uwezi piga hatua yoyote ya maana kwenye maisha yako maana kawaida binadamu mwenye akili uwa anatafuta alipokosea apafanyie kazi ili arudi kivingine ikiwemo kujua mwenzake amefanikiwaje, lakini ukibaki na akili kama hizi lazima uferi kila jambo maana utaki kuukubali ukweli
Bora mbumbumbu wa Simba kuliko watu wasio na akili a.k.a mataahira.Wenye akili kinye fc ni wawili tu.
 
Mbumbumbu next level, kwanini hamkuwaambia waje mapema?
Hahahaa kumbe kweli ukiwa huna akili ni mzigo mkubwa. .yaani unaamini timu yako imepata ushindani wa kweli kwa wake wasudan?..
Unajua umbali wa Sudan wewe watu kuja kwa bus?Halafu hao hao wanawakazia kipindi chote cha kwanza!
 
Kwaiyo waliocheza na wale walioko kwenye ligi mbovu wa malawi ndo walipata ushindi wa halali sio?
 
Yaani Hawa watu Wana Shida Jana nilikuwa bar Moja hivi nakunywa Apple punch yangu Tuiikuwa tukuiangalia mech zote Kwa pamoja kama kawaida wenye DNA ya mashindano haya wakapata goli via Phiri Mshabiki wa Simba Wala hawakushangilia kwa nongwa waliishia kupiga makofi tu,maisha yakaendelea kipindi cha pili UTOPOLO wakapata Goli uwiíiiiiiiiii ghafla watu wakapanda juu ya meza hata wengine juu ya mapaa ya nyumba za watu.kugalagala kwenye madimbwi ya maji kana kwamba wameifunga Rivers United kumbe wamekutana na Timu kiponde hivi.Kweli Lucy Emel hakukosea kuwaita naniii hiiiiii.....
Ndimi Mshabiki wa Taifa Stars
Unachoongea ni kweli hata nilipo angalia mimi mpira mashabiki wa simba hawakushangilia goli hata moja ila yanga sasa fujo mpaka wanapanda kwenye mabenchi kwanza walianza kusema wanaonewa na mwamuzi baada ya kukataa goli zao zile nikajua kweli hawa ndo mashabiki vilaza Africa mashariki wanapatikana avic town
 
Back
Top Bottom