Eti Yanga kuwafunga vibonde, nyie kawafunga mara ngapi?

Eti Yanga kuwafunga vibonde, nyie kawafunga mara ngapi?

Mmepigwa na yanga mara 3 mtawalia ambayo ni sawa na hat trick sijui unahitaji hat trick ipi nyingine, kama ni kibonde basi nyie inaonekana ni vibonde zaidi ya hao zahlan maana kwa akili ya kawaida uwezi kuwa unapigwa tu kila mechi na wala ubadiliki ata kiufundi ni maumivu makubwa
Duuuuh kwa hio umeridhia kua mbwa mkuu?
😂
Kama yanga akishinda game raundi ya kwanza sawa
 
Yanga mtu wanayeweza kumfunga ni zalan fc tu akija kushinda mechi nyingine baada ya zalan kutolewa mniite mbwa nipo hapa😂😂
Unataka uwe mbwa mara ngapi na tiyali ni mbwa, mbumbumbu aliyewaroga alishakufa kitambo
 
Unataka uwe mbwa mara ngapi na tiyali ni mbwa, mbumbumbu aliyewaroga alishakufa kitambo
***** zenu time will tell hamna namna ya kutoboa zaidi ya kuishia kumfunga zalan
 
Anayesema kawafunga vibonde alete timu yake ambayo ni bora tuone, na pia alete matokeo yake dhidi ya yanga ili tufanye rejea tujue zalan kapigwa kihalali ama vipi, maana maneno matupu ayasaidii tutapoteza muda wetu bure kujibishana na watu waliotoka kupiga misokoto ya bangi
 
Mmepigwa na yanga mara 3 mtawalia ambayo ni sawa na hat trick sijui unahitaji hat trick ipi nyingine, kama ni kibonde basi nyie inaonekana ni vibonde zaidi ya hao zahlan maana kwa akili ya kawaida uwezi kuwa unapigwa tu kila mechi na wala ubadiliki ata kiufundi ni maumivu makubwa sana
Acha ncheke kidogo....mechi za mazingaombwe ya akina mpili tulishaachana nazo shabikieni tu
 
Simba ndo timu iliyofungwa mara nyingi na Yanga dunia hii
 
Hivi huyu mjuba mbona anakalia tako moja vipi?
1662833650444.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Acha ncheke kidogo....mechi za mazingaombwe ya akina mpili tulishaachana nazo shabikieni tu
Ndo maana rage akukosea kuwaita mbumbumbu, unapishindwa kuukubali uwezo wa mwenzako na kuendekeza mambo ya ajabu ajabu basi ujue utaendelea kudumaa kiakili na kimawazo, uwezi piga hatua yoyote ya maana kwenye maisha yako maana kawaida binadamu mwenye akili uwa anatafuta alipokosea apafanyie kazi ili arudi kivingine ikiwemo kujua mwenzake amefanikiwaje, lakini ukibaki na akili kama hizi lazima uferi kila jambo maana utaki kuukubali ukweli
 
Naona leo Zalan walikua wanapata tuu harufu za Vinyesi uwanjani na ule uchovu lazima waruhusu mabao.
 
Lini yanga amwewahi ifunga simba japo 4 kwa 3?, achilia mbali 3 bila?.

Ukiona hivyo ujue unatafuta sehemu ya kupumlia maana uwezo wenu kimataifa unajulikana hususani mnapokutana na timu ndogo kama rivers mnachapika nje ndani.

Nabi akishinda kimataifa jua alikuwa anacheza na wauza chai mtaani maana hata somalia u20 aliwashindwa.
Wawezee wapiii ni uchawi tuu unawasaidia bila uchawi Haiwawezi simba
 
Lini yanga amwewahi ifunga simba japo 4 kwa 3?, achilia mbali 3 bila?.

Ukiona hivyo ujue unatafuta sehemu ya kupumlia maana uwezo wenu kimataifa unajulikana hususani mnapokutana na timu ndogo kama rivers mnachapika nje ndani.

Nabi akishinda kimataifa jua alikuwa anacheza na wauza chai mtaani maana hata somalia u20 aliwashindwa.
Mbumbumbu next level
 
Back
Top Bottom