kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Kolowizard waliacha lini kuwa wachawi?Wawezee wapiii ni uchawi tuu unawasaidia bila uchawi Haiwawezi simba
Hivi huyu mjuba mbona anakalia tako moja vipi?View attachment 2352949
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Tumeshaacha ndo maana mnatufunga siku hzi kwa sbb nyie bado mnapita mlango usioruhusiwa kila mechi na Simba. Huo ni ushirikinaKolowizard waliacha lini kuwa wachawi?
Kwamba amuulize dingi yake, dah kmmk watu![emoji1787][emoji1787]Simba ilisha wahi kufungwa 5-0 achana na mambo ya goli 4. Kama hujawahi kusikia muulize babayako kama ni mfuatiliaji wa soka atakumbuka.
Dada yangu umeni disappoint sana wewe sio wa lugha hiziNaona leo Zalan walikua wanapata tuu harufu za Vinyesi uwanjani na ule uchovu lazima waruhusu mabao.
Andika vizuri ueleweke, utajitukana we MbumbumbuWawezee wapiii ni uchawi tuu unawasaidia bila uchawi Haiwawezi simba
Na nyie mlifungwa 6 hiyo zamani, muulize baba yako mkubwa akuambie,Simba ilisha wahi kufungwa 5-0 achana na mambo ya goli 4. Kama hujawahi kusikia muulize babayako kama ni mfuatiliaji wa soka atakumbuka.
Yaani Hawa watu Wana Shida Jana nilikuwa bar Moja hivi nakunywa Apple punch yangu Tuiikuwa tukuiangalia mech zote Kwa pamoja kama kawaida wenye DNA ya mashindano haya wakapata goli via Phiri Mshabiki wa Simba Wala hawakushangilia kwa nongwa waliishia kupiga makofi tu,maisha yakaendelea kipindi cha pili UTOPOLO wakapata Goli uwiíiiiiiiiii ghafla watu wakapanda juu ya meza hata wengine juu ya mapaa ya nyumba za watu.kugalagala kwenye madimbwi ya maji kana kwamba wameifunga Rivers United kumbe wamekutana na Timu kiponde hivi.Kweli Lucy Emel hakukosea kuwaita naniii hiiiiii.....Ukiatoa uchawi na kubebwa na waamuzi,utopolo haina ujanja wowote.
Timu imefika kwa bus jana SAA 5 usiku,ila wamewakazia dakika 45!
Bado mnakesha bar kusherehekea hat trick na kwa wengi wenu hamjui hata mko hatua gani.
6-0 ndio deni analodai.Halafu ujue mna deni la 6-0 hamuwezi kulilipa achilia mbali zile 5 tano
Vipi yale mazingaombwe mliyofanya SA kwa Orlando pirates?Acha ncheke kidogo....mechi za mazingaombwe ya akina mpili tulishaachana nazo shabikieni tu
Kama zalan ni kibonde nyinyi Simba mtakuwa manyonyo,mayele &fei Toto ndio hao hao wanawafunga makolo kila mechiYaani Hawa watu Wana Shida Jana nilikuwa bar Moja hivi nakunywa Apple punch yangu Tuiikuwa tukuiangalia mech zote Kwa pamoja kama kawaida wenye DNA ya mashindano haya wakapata goli via Phiri Mshabiki wa Simba Wala hawakushangilia kwa nongwa waliishia kupiga makofi tu,maisha yakaendelea kipindi cha pili UTOPOLO wakapata Goli uwiíiiiiiiiii ghafla watu wakapanda juu ya meza hata wengine juu ya mapaa ya nyumba za watu.kugalagala kwenye madimbwi ya maji kana kwamba wameifunga Rivers United kumbe wamekutana na Timu kiponde hivi.Kweli Lucy Emel hakukosea kuwaita naniii hiiiiii.....
Ndimi Mshabiki wa Taifa Stars
Bora mbumbumbu wa Simba kuliko watu wasio na akili a.k.a mataahira.Wenye akili kinye fc ni wawili tu.Ndo maana rage akukosea kuwaita mbumbumbu, unapishindwa kuukubali uwezo wa mwenzako na kuendekeza mambo ya ajabu ajabu basi ujue utaendelea kudumaa kiakili na kimawazo, uwezi piga hatua yoyote ya maana kwenye maisha yako maana kawaida binadamu mwenye akili uwa anatafuta alipokosea apafanyie kazi ili arudi kivingine ikiwemo kujua mwenzake amefanikiwaje, lakini ukibaki na akili kama hizi lazima uferi kila jambo maana utaki kuukubali ukweli
Hahahaa kumbe kweli ukiwa huna akili ni mzigo mkubwa. .yaani unaamini timu yako imepata ushindani wa kweli kwa wake wasudan?..Mbumbumbu next level, kwanini hamkuwaambia waje mapema?
Kwaiyo waliocheza na wale walioko kwenye ligi mbovu wa malawi ndo walipata ushindi wa halali sio?Hahahaa kumbe kweli ukiwa huna akili ni mzigo mkubwa. .yaani unaamini timu yako imepata ushindani wa kweli kwa wake wasudan?..
Unajua umbali wa Sudan wewe watu kuja kwa bus?Halafu hao hao wanawakazia kipindi chote cha kwanza!
Unachoongea ni kweli hata nilipo angalia mimi mpira mashabiki wa simba hawakushangilia goli hata moja ila yanga sasa fujo mpaka wanapanda kwenye mabenchi kwanza walianza kusema wanaonewa na mwamuzi baada ya kukataa goli zao zile nikajua kweli hawa ndo mashabiki vilaza Africa mashariki wanapatikana avic townYaani Hawa watu Wana Shida Jana nilikuwa bar Moja hivi nakunywa Apple punch yangu Tuiikuwa tukuiangalia mech zote Kwa pamoja kama kawaida wenye DNA ya mashindano haya wakapata goli via Phiri Mshabiki wa Simba Wala hawakushangilia kwa nongwa waliishia kupiga makofi tu,maisha yakaendelea kipindi cha pili UTOPOLO wakapata Goli uwiíiiiiiiiii ghafla watu wakapanda juu ya meza hata wengine juu ya mapaa ya nyumba za watu.kugalagala kwenye madimbwi ya maji kana kwamba wameifunga Rivers United kumbe wamekutana na Timu kiponde hivi.Kweli Lucy Emel hakukosea kuwaita naniii hiiiiii.....
Ndimi Mshabiki wa Taifa Stars
Sasa timu yenu nayo hujawahi kuiskia? Mbona inapigwa sana na huyohuyo MayeleToka ulimwengu kuumbwa Sijawahi kuisikia Timu hii Zalani....Hivi ni Ya Wapi..?
Wewe tayari ni mbwaKama yanga akishinda game raundi ya kwanza sawa
Ni kweliSimba ndo timu iliyofungwa mara nyingi na Yanga dunia hii
Sasa hutakiNonsense
Pole mkuu. Hizi timu zinatupeleka vibaya niliona hapo juu wanasimba wanaitwa manyonyo any way tuyaache. Tushabikie kiustaaabu. Tuishie kwny utopolo.Dada yangu umeni disappoint sana wewe sio wa lugha hizi