Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
mashabiki wa simba wekeni akiba ya maneno, kuongea ongea sana kunawashushia heshima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisichowezekana kitawezekana ndani ya siku kumi zijazo, INSHAALLAH.Wananchiiii hapa ndiyo mnasema mnaenda kubeba kombe? [emoji13][emoji13][emoji13]
View attachment 2632576
nakushauri hiyo siku usiangalie hiyo game... maana unaweza jinyonga kwa wivu utakaoupata
Kombe gani lenye mvuto mlilichukua msimu huu? Mwakarobo fcWanaweza tuu kwanza kombe lenyewe halina mvuto... 😆
Tulia we gongowaziKombe gani lenye mvuto mlilichukua msimu huu? Mwakarobo fc
Sawa kabisa ft 4 - 4Simple kabisa. Nne bila za kwa mkapa watajuta
Tulia we gongowazi