Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Kisichowezekana kitawezekana ndani ya siku kumi zijazo, INSHAALLAH.Wananchiiii hapa ndiyo mnasema mnaenda kubeba kombe? [emoji13][emoji13][emoji13]
View attachment 2632576
nakushauri hiyo siku usiangalie hiyo game... maana unaweza jinyonga kwa wivu utakaoupata
Kombe gani lenye mvuto mlilichukua msimu huu? Mwakarobo fcWanaweza tuu kwanza kombe lenyewe halina mvuto... π
Tulia we gongowaziKombe gani lenye mvuto mlilichukua msimu huu? Mwakarobo fc
Sawa kabisa ft 4 - 4Simple kabisa. Nne bila za kwa mkapa watajuta
Tulia we gongowazi