Eti yanga wana bahati na vibonde!

Eti yanga wana bahati na vibonde!

"Yanga wamepata bahati ya kukutana na Vibonde tangu msimu uliopita kwenye mashindano ya kombe la shirikisho barani Africa na msimu huu kwenye club bingwa
MSIMU ULIOPITA

YANGA vs Mazembe alikuwa dhofuli hali yanga wakashinda kirahisi tu
YANGA VS Us Monastiry ilikuwa mara yake ya kwanza kushiriki makundi tofauti na Yanga ambayo ilikuwa inashiriki kwa mara tatu

YANGA VS Real Bamako ni timu ambayo tayari ilishajichokoea toka mda mrefu ndio maana Yanga walipata matokeo kirahisi sana

YANGA vs Rivers hii timu ilikuwa inaingia robo fainali kwa mara ya kwanza na hata makundi ilikuwa ni mara yake ya kwanza tofauti na Yanga ambao walikuwa na uzoefu mkubwa kwenye kombe la shirikisho

YANGA vs Marumo Gallants wao walikuwa wameshuka daraja kabisa kwahio ilikuwa bahati nyingine kwa Yanga ndio maana hata kushinda ikawa rahisi sana
MSIMU HUU

YANGA VS ASAS..hapa Yanga walipata bahati nyingine ya kukutana na timu ambayo haina ubora na wakapata bahati ya kucheza mechi zote mbili nyumbani na ugenini wakapata matokeo mazuri

YANGA VS El Merrick hii bahati nyingine kwa Yanga wamekutana na timu ambayo haina ubora imebaki na historia yake tu ndio maana wamepata matokeo kirahisi sana"

Mchambuzi Alex Ngereza kutoka TV3
Ndio hapo
 
Kwa trend invyoenda Yanga itakuwa timu ya Kwanza kucheza Nusu fainali na fainali za CAF GSM na ENGINEER washike hapo hapo waliposhika inaweza isiwe msimu huu lakini YANGA itakuwa ya kwanza.
 
Kwa trend invyoenda Yanga itakuwa timu ya Kwanza kucheza Nusu fainali na fainali za CAF GSM na ENGINEER washike hapo hapo waliposhika inaweza isiwe msimu huu lakini YANGA itakuwa ya kwanza.
Bora iwe hivyo wafute machungu ya kupigwa bao 8 bila kwenye mechi moja,
 
Rage atakumbukwa siku zote, Makolo wote ni mambumbumbu
 
Back
Top Bottom