jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
duh1. Mcha mungu
2. Ajue thaman yake
3. Kazi kazi kazini
4. Ajue kuhusu Torati ya mtaa
5. etc
Duh nini sasa?subiri huu uzi ufike mpaka wiki ijayo utachoka mwenyewe..
ngojaDuh nini sasa?subiri huu uzi ufike mpaka wiki ijayo utachoka mwenyewe..
Hatafuti mhudumu wa kigango1. Mcha mungu
2. Ajue thaman yake
3. Kazi kazi kazini
4. Ajue kuhusu Torati ya mtaa
5. etc
Habarii wana JF
Nahitaji kufungua bar ila napata taabu jinsi ya kuchagua wahudumu bora a.k.a baaamedi ,naombeni kujua baamedi bora ni yuupi na yupi hafai ili nikianza usahili wasinichanganye ,
Naombeni sifa za baamedi mnazozijua ninyi