jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Habarii wana JF
Nahitaji kufungua bar ila napata taabu jinsi ya kuchagua wahudumu bora a.k.a baaamedi ,naombeni kujua baamedi bora ni yuupi na yupi hafai ili nikianza usahili wasinichanganye ,
Naombeni sifa za baamedi mnazozijua ninyi