Etiii kwani baamedi sifa zake ni zipi?

Etiii kwani baamedi sifa zake ni zipi?

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,901
Habarii wana JF

Nahitaji kufungua bar ila napata taabu jinsi ya kuchagua wahudumu bora a.k.a baaamedi ,naombeni kujua baamedi bora ni yuupi na yupi hafai ili nikianza usahili wasinichanganye ,

Naombeni sifa za baamedi mnazozijua ninyi
 
1. Mcha mungu
2. Ajue thaman yake
3. Kazi kazi kazini
4. Ajue kuhusu Torati ya mtaa
5. etc
 
Mgawa papuchi mzuri
Rangi ya singida na tabia zao mama huruma..
 
Back
Top Bottom