Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Soma vizuri basiUnachekesha yani sawa umfananishe Mhilu na Dennis Nkane WonderKid
TumekusomaNi kweli okocha alikuwa na kipaji kikubwa pengine zaidi ya dinho, ila kuna vitu vilimuangusha, ukiangalia hata baadhi ya game utaona hayo matatizo, okocha alikuwa na show numyingi ambazo wakati mwingine zinauwa move ya goli, anapoza mashambulizi kwa kufanya madoido yake mambo ambayo na neymar anayo... Ila gaucho madoido yake yalikuwa yanaenda na move ya goli
Kacheki haymta youtube vidoe 3 za okocha na 3 za gaucho utaona hili..
Dinho mwenyewe aishawahi kukiri kuwa anamkubali mnoo OKOCHA, na alilalamika kwanini okocha alikimbilia Uingereza, ila lau angeenda spajn basi histori ingekuwa tofauti.
Wewe ndio usome vizuri maana umeuliza kitu wakaji majibu unayo tayarSoma vizuri basi
Okocha angefanya vizuri kama angeenda hispania kutokana na uchezaji wake ila akakimbilia uk tena kwenye timu ya kawaidaNi kweli okocha alikuwa na kipaji kikubwa pengine zaidi ya dinho, ila kuna vitu vilimuangusha, ukiangalia hata baadhi ya game utaona hayo matatizo, okocha alikuwa na show numyingi ambazo wakati mwingine zinauwa move ya goli, anapoza mashambulizi kwa kufanya madoido yake mambo ambayo na neymar anayo... Ila gaucho madoido yake yalikuwa yanaenda na move ya goli
Kacheki haymta youtube vidoe 3 za okocha na 3 za gaucho utaona hili..
Dinho mwenyewe aishawahi kukiri kuwa anamkubali mnoo OKOCHA, na alilalamika kwanini okocha alikimbilia Uingereza, ila lau angeenda spajn basi histori ingekuwa tofauti.
Naamini alikosa washauri wazuri.Okocha angefanya vizuri kama angeenda hispania kutokana na uchezaji wake ila akakimbilia uk tena kwenye timu ya kawaida
Kuna jambo linaitwa management, msione watu wanatoboa toboa tu, kwa soka la okocha angefika zaidi ya pale, kuna vitu alikosa. Dinho mwenyewe kawahi kukiri okocha ni moto wa kuotea mbali, ila alifeli pale kukimbilia Uingereza kutimiza ndoto zake za kucheza epl.Huyo okocha kaishia kuchezea timu ndogo tu jiulize timu kubwa si zilikuwepo? Kwann hazijamsajiri?
Pia okocha hana tuzo yoyote sawa mchezaji bora wa dunia unaweza kusema wazungu wamembania, je mchezaji bora wa africa mbona hajachukua hata mara moja?
Hakuwa bora kihivyo zaidi ya machenga tu, usije ukamfananisha na fundi gaucho
EToo yuko sahihi kabisa. Kwa tuliobahatika kuwaona wote wakicheza tunasema Jay Jay ni zaidi ya GauchoMchezaji wa zamani wa Barcelona, Real Madrid, Chelsea, Everton na timu ya taifa ya Cameroon, Samuel Eto'o Fils amesema kwake yeye Okocha alikuwa na uwezo zaidi ya Ronaldinho.
Tulichokiona kinafanywa na Ronaldinho kilishafanywa miaka 10 mpaka 15 iliyopita na Okocha. Hata walipokuwa wote PSG Okocha alikuwa akimuweka benchi Ronaldinho.
Ila kwakuwa Okocha anatokea Afrika, hawakuweza kumpa sifa zake hivyo nadiriki kusema Okocha alikuwa bora kuliko Ronaldinho. Aliongeza Eto'o
Mwanamichezo unakubaliana na Eto'o? Kwako wewe nani alikuwa yuko vizuri zaidi?
Kaka una utani na mbavu zanguOkocha alikuwa mzee wa vyenga tu Ila dinyo alikuwa levo za Mavampire