Ukishakua na uwezo mkubwa management nzuri itajiset yenyewe.kwahiyo lazima uanze kwanza kua na uwezo kisha ndo management ifwate.Kuna jambo linaitwa management, msione watu wanatoboa toboa tu, kwa soka la okocha angefika zaidi ya pale, kuna vitu alikosa. Dinho mwenyewe kawahi kukiri okocha ni moto wa kuotea mbali, ila alifeli pale kukimbilia Uingereza kutimiza ndoto zake za kucheza epl.
Unachekesha yani sawa umfananishe Mhilu na Dennis Nkane WonderKid
HahaLabda walitofautiana matunzo tu
Mchezaji wa zamani wa Barcelona, Real Madrid, Chelsea, Everton na timu ya taifa ya Cameroon, Samuel Eto'o Fils amesema kwake yeye Okocha alikuwa na uwezo zaidi ya Ronaldinho.
Tulichokiona kinafanywa na Ronaldinho kilishafanywa miaka 10 mpaka 15 iliyopita na Okocha. Hata walipokuwa wote PSG Okocha alikuwa akimuweka benchi Ronaldinho.
Ila kwakuwa Okocha anatokea Afrika, hawakuweza kumpa sifa zake hivyo nadiriki kusema Okocha alikuwa bora kuliko Ronaldinho. Aliongeza Eto'o
Mwanamichezo unakubaliana na Eto'o? Kwako wewe nani alikuwa yuko vizuri zaidi?
Walicheza pamoja PSGLabda walitofautiana matunzo tu
Kuhusu kumuweka benchi psg watu wanasahau gaucho alikuwa ndio anachipukia wakati okocha ndio anaelekea uzeeniOkocha ni bora zaidi ya ronaldino.
Ulivyobahatika kuwaona ukabahatika pia kuwa mwongo.EToo yuko sahihi kabisa. Kwa tuliobahatika kuwaona wote wakicheza tunasema Jay Jay ni zaidi ya Gaucho
Tukizungumzia overall kwa wachezaji wooote ulimwenguni, toka soka lianze, tumpe heshima yake mtu mmoja tu hapa duniani, ni LIONEL ANDRES MESSI.
Ulivyobahatika kuwaona ukabahatika pia kuwa mwongo.