Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Sababu serikali na washirika wake wakiwa na cha kuongea wanakimbilia ukoCloudsFm Radio kuifukia aiwezekani...labda clouds TV ....Lakin kwa upande wa Radio mtasubiri sana hata East Africa radio walijaribu lakin waliishia njiani.
muda mwingine swali hujibiwa kwa swali....Ni bora tuwe na Wasanii wengi kama DIAMOND au tumshushe DIAMOND ili mwingine mmoja awe juu?Swali la msingi: Ni bora tuwe na vituo vingi kama CLOUDS au tuishushe CLOUDS ili nyingine moja tu iwe juu???
Sijui kama atakuwa na majibu ya maana hapa.muda mwingine swali hujibiwa kwa swali....Ni bora tuwe na Wasanii wengi kama DIAMOND au tumshushe DIAMOND ili mwingine mmoja awe juu?
Umeona kuna sehem imetajwa EATV hapo?Sijaelewa umesema EFM au EATV au zote??
Ungepunguza jazba kwanza ili tuelewe wenye vichwa vigumu.
Ilinichanganya hiyo ETV/EFM sio wote tunajua mambo hizo ndio maana kuuliza si ujinga kaka mkubwa. Lol.Umeona kuna sehem imetajwa EATV hapo?
Hawajaungana ni video tuu ya Diamond imepigwa.....
Hila tv-e iko bora sana kwa graphics design na muonekano kuliko tv zote nchini.....
true sayTusichotaka ni kutishana kuwa bila clouds hakuna burudani wala mburudishaji kusonga mbele
Mi nilijua EATV na Startv ndo wapo vizuri graphics na muonekano