ETV waungana na WCB, Clouds mtaomba poo mwaka huu!

ETV waungana na WCB, Clouds mtaomba poo mwaka huu!

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Wakiokuwa wanapiga kelele eti ETV hawachezi ngoma za WCB,hicho kitu hakipo...sasa nguvu ya ETV+WASAFI....Clouds mtaomba poo mwaka huu na roho zenu mbaya.

Muda huu hizi picha ni Ngoma ya Diamond ETV
IMG_20180227_133913.jpg
IMG_20180227_133910.jpg
IMG_20180227_133844.jpg
 
Wa bongo wana mahaba niue
 
CloudsFm Radio kuifukia aiwezekani...labda clouds TV ....Lakin kwa upande wa Radio mtasubiri sana hata East Africa radio walijaribu lakin waliishia njiani.
Sababu serikali na washirika wake wakiwa na cha kuongea wanakimbilia uko
 
Tusichotaka ni kutishana kuwa bila clouds hakuna burudani wala mburudishaji kusonga mbele
 
Back
Top Bottom