ETV waungana na WCB, Clouds mtaomba poo mwaka huu!

CloudsFm Radio kuifukia aiwezekani...labda clouds TV ....Lakin kwa upande wa Radio mtasubiri sana hata East Africa radio walijaribu lakin waliishia njiani.
Wanaweza Kama wakimchukua KIVUYO ITV
 
What i know Ruge yupo smart sana na hakuna kitu kizuri kama kupigana na adui ambae unaijua nguvu yake na uwezo wake.

Amini nawaambia ruge atawasurprise WBC na hamtaamini.

Ruge anajua akifanyacho, hata mkiwabeba watangazaji wote wenye majina anauwezo wa kuwatengeneza wengine na wakaheat
 
Mbona atakoma huyo Domo ,wakina Polepole watakesha hapo Wasafi tv kutema pumba zao. Vipindi vya ijue Dodoma sijui vyote vitahamia hapo, bila kusahau kurusha live ziara za Rais hadi za makanisani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Please Nipeni Break
 
shida sio kuishusha shida niku stop ubaguzi wao na umafya na unyonyaji wanaokuwa wanafanyiya wasani wahangaikaji ...
 
Mpaka sasa hiyo WCB radio & Tv imeshafeli kabla ya kuzinduliwa.

Radio na TV ni watu, kitendo cha WCB kuwa ubavuni Mwa watu ambao wao against na Raia ni dalili tosha ya kuanguka kwao.
watu gani wako against na raia?
 
ACHENI KUPAPARIKA PIGENI KAZI..TV HAINA HATA WIKI NA 'SINA HAKIKA KAMA IMEANZA KUWA HEWANI' TAYARI HIKI NA KILE,HUKU NA KULE TATIZO MTAA ULE USWAHILI MWINGIIIIIIII..
 
Hivi ETV nayo ni tv ya kujivunia tv yenyewe vumbi, EATV, ITV Ndo tv bongo ambazo zipo clean akifuatia na azam tv, hizo nyingine ni vumbi picha zao kama za miaka ya utawala wa nyerere
Mkuu utakuwa na mahaba yako binafsi na eatv, ila picha yao ni poor ila sio kama ch10, etv atleast
 
Kwa hiyo wanaungana ili wapambane na clouds?

TV stations zote zilizobaki zipo ok kasoro Clouds tu ama? fafanua please.
Kusema ukweli nashangazwa sana jinsi watanzania tulivyo na ushabiki wa kipuuzi
Ina maana hiyo TV station imeanzishwa kupambana na Clouds ama wanataka kufanya biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…