usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Huu mchezo hauhitaj hacraKiaz mbatata mama ako
Mzeee kojoa ulale dogo
Viva mawingu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mchezo hauhitaj hacraKiaz mbatata mama ako
Wcb ibatumika tu kama leboWatu gani, Babu Tale na Mkubwa Fella au?
Wanaweza Kama wakimchukua KIVUYO ITVCloudsFm Radio kuifukia aiwezekani...labda clouds TV ....Lakin kwa upande wa Radio mtasubiri sana hata East Africa radio walijaribu lakin waliishia njiani.
Kaaaaazi kweri kweriiiiiWooork true true
Mkuu me mwenyewe nilidhani inaongelewa EATVIlinichanganya hiyo ETV/EFM sio wote tunajua mambo hizo ndio maana kuuliza si ujinga kaka mkubwa. Lol.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Please Nipeni BreakMbona atakoma huyo Domo ,wakina Polepole watakesha hapo Wasafi tv kutema pumba zao. Vipindi vya ijue Dodoma sijui vyote vitahamia hapo, bila kusahau kurusha live ziara za Rais hadi za makanisani
watu gani wako against na raia?Mpaka sasa hiyo WCB radio & Tv imeshafeli kabla ya kuzinduliwa.
Radio na TV ni watu, kitendo cha WCB kuwa ubavuni Mwa watu ambao wao against na Raia ni dalili tosha ya kuanguka kwao.
Wakiokuwa wanapiga kelele eti ETV hawachezi ngoma za WCB,hicho kitu hakipo...sasa nguvu ya ETV+WASAFI....Clouds mtaomba poo mwaka huu na roho zenu mbaya.
Muda huu hizi picha ni Ngoma ya Diamond ETVView attachment 702013 View attachment 702014 View attachment 702016
IQ yako haina tofaut na ya bashiteWaliokuelewa naomba wanisaidie kunielewesha tafadhali kwani IQ yangu kama Great Thinker imegoma kabisa Kukuelewa.
Mi nilijua EATV na Startv ndo wapo vizuri graphics na muonekano
Kwa graphics azam hana mpinzani bongoStartv? Seriouslu? EATV yes lakini startv 0
Mkuu utakuwa na mahaba yako binafsi na eatv, ila picha yao ni poor ila sio kama ch10, etv atleastHivi ETV nayo ni tv ya kujivunia tv yenyewe vumbi, EATV, ITV Ndo tv bongo ambazo zipo clean akifuatia na azam tv, hizo nyingine ni vumbi picha zao kama za miaka ya utawala wa nyerere
Kusema ukweli nashangazwa sana jinsi watanzania tulivyo na ushabiki wa kipuuziKwa hiyo wanaungana ili wapambane na clouds?
TV stations zote zilizobaki zipo ok kasoro Clouds tu ama? fafanua please.
Hata mi nimeshangaa sana! star tv ina graphics nzuri! wakati picha zake utafikiri zinachukuliwa nakamera ya tecno y3+weee star tv hiii au tatizo ni tv yangu
??